Taja Members wa JamiiForums ambao unadhani kwa ushindi mnono wa yanga fc wameumia na wanaweza wasionekane kwa muda hapa

Taja Members wa JamiiForums ambao unadhani kwa ushindi mnono wa yanga fc wameumia na wanaweza wasionekane kwa muda hapa

Wala sio michezo tu, kila mahali alikuwa anawakejeli watu kwa kuwaita mapopoma.

Ilikuwa 2015 kama sikosei.
Oooh kumbe yy ndio Popoma..hahahahaha ila ana changamsha changamsha namuona km hayuko sawa kichwani hv
 
Mimi ni Simba ila kuna muda ntu useme tu ule ukweli,nyinyi mbwa mnatisha,ni wa moto hamshikiki.
kuna muda nikajisemea tu moyoni hawa ni Utopolo au Real Madrid,,,!

Yanga imekua timu ya kumaliza shughuli mapema tena kwa vigogo wa soka timu kutoka kaskazini.
haaaa,,,!!Hongereni sana Utopolo hamna baya umbwa nyinyi.
Wewe kiboko.
Unawasifu na kuwatukana humo humo.
 
Maandalizi ya Inonga Day jumamosi,jipake kwa wingi.
Tofauti ya mgeni rasmi na siku ya mtu unaijua? Mtu na siku yake huwa lazima mvae sare..mfano siku ya mwanamke duniani huwa kuna vazi rasmi kusherehekea kilele...ila ukisikia mgeni rasmi hutakiwi kwanza hata kujua atavaa nini au atakuja na nini..nyie subiri ya mwamnyeto mwende na sabuni...
 
Back
Top Bottom