Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Oooh unajua huku michezo nilikua siingii sana kumbe basi linamfaaKumbe wewe mgeni kwake? Yeye ndio alikuwa anaita watu hivyo mwisho limemgeukia yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh unajua huku michezo nilikua siingii sana kumbe basi linamfaaKumbe wewe mgeni kwake? Yeye ndio alikuwa anaita watu hivyo mwisho limemgeukia yeye.
Wala sio michezo tu, kila mahali alikuwa anawakejeli watu kwa kuwaita mapopoma.Oooh unajua huku michezo nilikua siingii sana kumbe basi linamfaa
Oooh kumbe yy ndio Popoma..hahahahaha ila ana changamsha changamsha namuona km hayuko sawa kichwani hvWala sio michezo tu, kila mahali alikuwa anawakejeli watu kwa kuwaita mapopoma.
Ilikuwa 2015 kama sikosei.
Popoma anajaribu kucheza na akili za Wana JF.
Wewe sasa unataka kuniletea ugomvi mi sitaki.Oooh kumbe yy ndio Popoma..hahahahaha ila ana changamsha changamsha namuona km hayuko sawa kichwani hv
Hahahahaha...tuache inatosha, uhali gani Lkn RafikiWewe sasa unataka kuniletea ugomvi mi sitaki.
Wewe kiboko.Mimi ni Simba ila kuna muda ntu useme tu ule ukweli,nyinyi mbwa mnatisha,ni wa moto hamshikiki.
kuna muda nikajisemea tu moyoni hawa ni Utopolo au Real Madrid,,,!
Yanga imekua timu ya kumaliza shughuli mapema tena kwa vigogo wa soka timu kutoka kaskazini.
haaaa,,,!!Hongereni sana Utopolo hamna baya umbwa nyinyi.
Sijambo rafiki.Hahahahaha...tuache inatosha, uhali gani Lkn Rafiki
Safi kama hujambo..nafurahi kusikia hilo toka kwako RafikiSijambo rafiki.
Maandalizi ya Inonga Day jumamosi,jipake kwa wingi.kumbee..kuna nini kwani
Inini hiyo?Ushanunua hii?
Uzwazwa..yani mna mambo ya kijinga sana [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Tofauti ya mgeni rasmi na siku ya mtu unaijua? Mtu na siku yake huwa lazima mvae sare..mfano siku ya mwanamke duniani huwa kuna vazi rasmi kusherehekea kilele...ila ukisikia mgeni rasmi hutakiwi kwanza hata kujua atavaa nini au atakuja na nini..nyie subiri ya mwamnyeto mwende na sabuni...Maandalizi ya Inonga Day jumamosi,jipake kwa wingi.
kuna unalolitafuta kwake kuwa makini sawa?Oooh kumbe yy ndio Popoma..hahahahaha ila ana changamsha changamsha namuona km hayuko sawa kichwani hv