Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Morogoro ya wapi sijui anaongelea huyo, eti sio kuzuri during rain season,wakati masaa mawili baada ya mvua kuisha kunakuwa kukavu hakuna tope kabisa,labda sokoni kutokana na wingi wa watu.yani hapa nanasi hadi 200 unapata,
Watu wanaongea bila uzoefu
 
Naomba nitaje ninaotamani kufika - Mwanza
Khantwe makubaliano tu, nitakutumia ticket ya Bombairder, VIP entrance ya Villa Ukapate Sato Choma hata mwenye Vikilo Vitano atakutosha pamoja na allowance kama za saloon, mavazi, Taxify, Accommodation na Meals kwa kipindi chote utakachokaa hapa
 
Arusha wakazi wengi ni masikin sana
Wakazi wakiwa Masikini wewe unauchukia mkoa?? Mbona hauichukii nchi yako masikini?? Halafu kwanini ufikie kwa ndugu au jamaa yako masikini? Maana hiyo Arusha ina Hotels kubwa tu, fikia huko halafu ulete ushuzi wako hapa.

Halafu wewe ni nani uwaone wenzako sio watu wa maan sababu wanaishi mkoa fulani? Kwahiyo Mwanza ulipo ndio kuna matajiri wote wenye maisha hata juu ya $10 kwa siku??
 
Mkuu unasema kwamba Arusha kuna hotel nzur tu? Sasa hizo hotel si wanalala wazungu huku nyie masikin mkiishi maisha yenu ya kimasikin masikin
Wakazi wakiwa Masikini wewe unauchukia mkoa?? Mbona hauichukii nchi yako masikini?? Halafu kwanini ufikie kwa ndugu au jamaa yako masikini? Maana hiyo Arusha ina Hotels kubwa tu, fikia huko halafu ulete ushuzi wako hapa.

Halafu wewe ni nani uwaone wenzako sio watu wa maan sababu wanaishi mkoa fulani? Kwahiyo Mwanza ulipo ndio kuna matajiri wote wenye maisha hata juu ya $10 kwa siku??
 
Humpend kabisa yaan umpandishe panga boy badala ya kumpandisha limdrimliner na unataka umpeleke vila badala ya kumpeleka malaika?
Khantwe makubaliano tu, nitakutumia ticket ya Bombairder, VIP entrance ya Villa Ukapate Sato Choma hata mwenye Vikilo Vitano atakutosha pamoja na allowance kama za saloon, mavazi, Taxify, Accommodation na Meals kwa kipindi chote utakachokaa hapa
 
Humpend kabisa yaan umpandishe panga boy badala ya kumpandisha limdrimliner na unataka umpeleke vila badala ya kumpeleka malaika?
Khantwe makubaliano tu, nitakutumia ticket ya Bombairder, VIP entrance ya Villa Ukapate Sato Choma hata mwenye Vikilo Vitano atakutosha pamoja na allowance kama za saloon, mavazi, Taxify, Accommodation na Meals kwa kipindi chote utakachokaa hapa
 
Humpend kabisa yaan umpandishe panga boy badala ya kumpandisha limdrimliner na unataka umpeleke vila badala ya kumpeleka malaika?
Mkuu huu ni wivu...yaani unanicrush kabla hata hajajibu 🙄🙄🙄🙄
 
Sijawahi fika pemba, rukwa na katavi tu kwa tanzania nzima.

Ila nataman kufika kote isipokuwa pemba tu ingawaje nina mpango wa kwenda kuitafuta new papuchi(bikra)
Nasikia nyiingi saana kule.

Mkoa ninaojutia kufika haupo.. Maana kila mkoa umenipa funzo na elimu flani... Ila mkoa wa kibabe kuliko yoote iyo ni kigoma..... Much respect.

Bishoo hakai kuule
 
Na selelereka nayo

Mimi sijawahi fika Kigoma na sina mpango wa kufika pia sijawahi fika Tabora na sina mpango wa kufika.

Najutia sana kufika Arusha maana ni mkoa choka mbaya kishenzi, nilitupa nauli zangu bure bora ningebaki Mwanza tu.
Huijui Arusha vizuri wewe, kaa utulie huko kwenu Kakonko!!!
 
Khantwe makubaliano tu, nitakutumia ticket ya Bombairder, VIP entrance ya Villa Ukapate Sato Choma hata mwenye Vikilo Vitano atakutosha pamoja na allowance kama za saloon, mavazi, Taxify, Accommodation na Meals kwa kipindi chote utakachokaa hapa
Achana na ticket na upuuzi mwingine we tuma tu nauli mzee baba
 
Back
Top Bottom