Mkuu hii Kitu ni endless circle....kitaa ninachoishi hapa ...wengi walikua single wakaoa then now wapo single Tena.......hawataki mambo ya ndoa...Aisee, hii ni logic gani sasa!!? Wenye ndoa hawana cha kujifunza kutoka kwa masingle. Ama hujui mtu mwenye ndoa alianza kwanza kama single? Wewe ndio unapaswa ujifunze kwa walio kwenye ndoa utoe tongotongo
Nimecheka hapo ubatizo wa moto.Amani , Uburu , Ni rahisi kupangilia bajeti kama ni mtu wa malengo , Wako focused , Wengi walio single ni wale ambao walipitishwa ubatizo wa moto na wapenzi wao.. hii inawapa nafasi ya kijijua zaidi na kurelflect what went Wrong kwenye previous relationship .
Wengine wataongezea....
NB :Hakuna mtu anaependa kuwa single kama amekamilika ni hali tu ya kukosa mtu sahihi at right time
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu walipitia pande zote, hivyo mada hii haina mashiko. Single ushauri nini married ambaye ni single mstaafu?Mkuu hii Kitu ni endless circle....kitaa ninachoishi hapa ...wengi walikua single wakaoa then now wapo single Tena.......hawataki mambo ya ndoa...
Unajua ni kwnn[emoji23][emoji23]
Mimi sipendi kuleta kila demu magetoni, nimeelewa point yako, lakini kuna watu hatupendi kuleta mademu geto wa aina tofauti
Wee mbona upo single hutaki kidume wapapase tako skonsiHakuna anayefurahia kuwa singo,
Endeleeni kujifariji.
Eti kambi kokote🤣🤣🤣🤣 enjoy life, yoloRaha ya kua single kuwa huru kutoka na mtu yeyote na UKIONA numebeba chaja yangu ya simu kwenye mkopa ndio inakua kambi popote [emoji1787][emoji1787]
Umemaanisha nini hapa mkuu......tupe madini ( kubeba chaja ya simu kwny mkoba))Raha ya kua single kuwa huru kutoka na mtu yeyote na UKIONA numebeba chaja yangu ya simu kwenye mkopa ndio inakua kambi popote [emoji1787][emoji1787]
Siku zote naogea fact mkuu,yale ya kule yaache yana mzuka wake tofauti kabisa.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Naona Leo umeongea fact[emoji23][emoji23]
Hamna raha sema hujapata mtu wa uhakika wa kushare nae maisha, japo ukitaka kipochi manyoya unapata.Salaaam magreat thinkers
Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)
Mkuu......kwan kunatofaut Kati ya raha na furaha[emoji23][emoji23]Uwe kwenye ndoa/ Haupo kwenye ndoa. Raha hupewi na mtu ni lazima ujitengenezee wewe mwenyewe ndiyo utaona hiyo raha. Raha/Furaha sijajua kwako kipi umechagua !
Ha haaa.....nimekupata mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote naogea fact mkuu,yale ya kule yaache yana mzuka wake tofauti kabisa.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tatizo vijana wa ovyo kutoka fesi buku wameamia na huku.Mwenye ndoa atajifunzaje Jambo ambalo ameshalipitia?
Akili zingine bhana!
Mtu kabla hajaoa alikuwa single, anajua in and out ya kuwa single alafu kisa kaoa uje umueleze faida ya kuwa single. Kweli?
Wenye ndoa ndio wanapaswa kusema wanachokipata ndoani ili single wajifunze.
Na Hilo suala kuna member humu alianzishiaga Uzi
Raha ni matokeo ya furaha ambayo ikizidi ni karaha.Mkuu......kwan kunatofaut Kati ya raha na furaha