Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Sinyora, ile kitu wakorea walituliza akili sana, na ilivunja record zao za mauzo, na budget walitumia kubwa sana, na wakapata waigizaji wanaojua sana, yule starring wa IRIS 1 alikula sana shavu Hollywood.
Shida ya IRIS hadeo sijui majina japo ya wahusika wawili wa hii series... Napendaga sana zile nyimbo zao
 

Prison break ni hatari kuliko zote
 
Inaonesha 24 ni nzur sana watu weng wameiandika itabid niitafute

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Inategemea unapenda series za aina gani kama hadi leo haijaicheki basi ujue sio testi yako... Sema kama unapenda series za vihoja vya korido za ikulu, special tasks, ugaidi na propaganda zake hakuna zaidi ya 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…