Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Bosi umesubiri mgao wa maziwa bila mafanikio?1..Nida
2..Bodi ya maziwa
Nida waiunganishe na Watu wanao toa vyeti vya kuzaliwa!1..Nida
2..Bodi ya maziwa
Napigilia msumari1..Nida
2..Bodi ya maziwa
Hapo kwenye nida ninaunga hoja1..Nida
2..Bodi ya maziwa
ZoteHabari!
Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea.
Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutkana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha.
Kuna taasisi hazifai kabisa, zimeonyesha failure kwa kiwango kikubwa. Zilipaswa zifutwe haraka hata bila majadliano ya Bunge.
Binafsi BASATA ifutwe haraka.
Bodi ya michezo ya kubahatishaHabari!