Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Habari!

Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea.

Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutkana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha.

Kuna taasisi hazifai kabisa, zimeonyesha failure kwa kiwango kikubwa. Zilipaswa zifutwe haraka hata bila majadliano ya Bunge.

Binafsi BASATA ifutwe haraka.
Urais ufutwe
 
NIC.

Walimu wanaijua vizuri hasa wale wa ndani ndani.
Kuna siku nilienda ofisi moja ya Kata baada ya muda nikawakuta hao jamaa kutoka NIC,baada ya kuwasikiliza nikaomba kuongea.

Niliwachana, mpaka wakakasirika. Hawakupata MTU.

Muda huo walikuwa wameshatoka kata nyingine wameshakupa a baadhi ya watu wakaingia king.
 
Back
Top Bottom