Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #61
Mpaka katelephone atoe agizoTakukuru.
Hawafanyi lolote mpaka waambiwe.
Sasa kuna faida gani ya kuwa na watu wanasubiri waambiwe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka katelephone atoe agizoTakukuru.
Hawafanyi lolote mpaka waambiwe.
Sasa kuna faida gani ya kuwa na watu wanasubiri waambiwe??
Taasisi 450 !!??????? Au na Taaisisi za Mashoga umejumlishia humo?Habari!
Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea.
Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutkana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha.
Kuna taasisi hazifai kabisa, zimeonyesha failure kwa kiwango kikubwa. Zilipaswa zifutwe haraka hata bila majadliano ya Bunge.
Binafsi BASATA ifutwe haraka.
Hata wakiambiwa hawana mafanikio yoyote, rushwa yenyewe imetawalaTakukuru.
Hawafanyi lolote mpaka waambiwe.
Sasa kuna faida gani ya kuwa na watu wanasubiri waambiwe??
Ziko nyingi.Taasisi 450 !!??????? Au na Taaisisi za Mashoga umejumlishia humo?
Kijana, Taasisi hazifiki 450. Labda kama unamaanisha Ofisi za serikali , kuanzia Serikali za Mitaa.Ziko nyingi.
Kuna wakala kadhaa
Kuna mamlaka kadhaa
Kuna kampuni kadhaa
Kuna madhirika kadhaa
Kuna ofisi (yaani ofisi ya fulani) kadhaa
Kuna idara kadhaa
Kuna bodi kadhaa
Kuna mifuko kadhaa.
Kuna local government's authorities.
N.k
Kuna kampuni uchwara inaitwa NARCO, sijui serikali inasubili nini kufuta huo upuuzi1..Nida
2..Bodi ya maziwa
Ndugu acha kubisha vitu tu kwa hisiaKijana, Taasisi hazifiki 450. Labda kama unamaanisha Ofisi za serikali , kuanzia Serikali za Mitaa.
Sawa mnyampaaNdugu acha kubisha vitu tu kwa hisia
Mimi nimepata idadi hii kutoka kwa kiongozi mmoja wa utumishi ambaye ndiye bosi wa taasisi zote.
Boss wa Taaisisi zote? Kwanza unajua nini maana ya neno Taasisi?Ndugu acha kubisha vitu tu kwa hisia
Mimi nimepata idadi hii kutoka kwa kiongozi mmoja wa utumishi ambaye ndiye bosi wa taasisi zote.
Ndugu kwa ujumla tunaita taasisi hata vile vyombo sita vya Ulinzi na usalama tunaviita taasisi. Ingawa kwa namna nyingine neno taasisi linajitenga maana kuna ofisi zingine title zake ni TAASISI.Boss wa Taaisisi zote? Kwanza unajua nini maana ya neno Taasisi?
[emoji23]Kisa hujapata kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🫣
Msalimie BOSS wa Taasisi zote Tanzania.Ndugu kwa ujumla tunaita taasisi hata vile vyombo sita vya Ulinzi na usalama tunaviita taasisi. Ingawa kwa namna nyingine neno taasisi linajitenga maana kuna ofisi zingine title zake ni TAASISI.
Siko hapa kubishana. Ni heri kila mtu abaki na analolijua
TakukuruHabari!
Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea.
Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutkana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha.
Kuna taasisi hazifai kabisa, zimeonyesha failure kwa kiwango kikubwa. Zilipaswa zifutwe haraka hata bila majadliano ya Bunge.
Binafsi BASATA ifutwe haraka.
Kila mwajiriwa ana maboss 3 tu katika nchi hii, hao ndio huweza hata kumfukuza kaziMsalimie BOSS wa Taasisi zote Tanzania.