Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Comments za watu[emoji1544][emoji1544][emoji1544], nacheka sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. BUNGE
2. DAWASA
3. TANESCO
4. Bodi Bodi zoote kuanzia ya Nyama, Ngozi, Mpira, sijui..

Zitafutiwe mbadala
Kweli kabisa hizi zitokomee kabisa gizani,
pia CCM na ile TAKUKURU haina msaada wote waungane huko huko kuzimu
 
Kiujumla inatakiwa kufanyike tathmini mpya ya hizi taasis ili kuona namna nzuri ya kupunguza matumizi ya serkali ikiwekezana kuziunganisha hizi taasisi
 
Hapo kwenye nida ninaunga hoja
Hawa NIDA sitaki hata kuwasikia, nikijitumia kama mfano, mimi nilishafanya usahili wote wa NIDA na kupata kitambulisho Ile awamu ya kwanza bahati mbaya nikapoteza, nikafanya taratibu zote Ili nilinew ninavyoandika sasa ushapita mwaka na miezi kama 2, Kila nilienda naambiwa utatumiwa message mpaka nimeamua niwaachie tu watakapojisikia wataniprintia kingine.
 
Back
Top Bottom