Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Polisi maana wananifuraisha wanakamata walevi majambazi maswaiba zao, wanachukua posho kwa wauza gongo bange na wao wanakunywa na kuvuta wamawatumia sana shirikishi. Naona shirilishi ifutwe wanasumbuwa na polisi wdnyewe wazee wa mlungula.
 
Takukuru.

Hawafanyi lolote mpaka waambiwe.


Sasa kuna faida gani ya kuwa na watu wanasubiri waambiwe??
Hao ni hasara kwa Taifa wangefutwa kiundwe kikosi kazi ambacho kinaingia popote kwenye harufu ya upigaji bila kuambiwa kama sasa hivi wezi watakua na hofu sio hii kila kukicha CAG anatoa report ya Upigaji na hakuna kinachofanyika...tunaletewa daraja la B moja wahuni wanasema 7 na point sijui na picha wanapiga na mgeni rasmi anaitwa kulifungua muda mwingine unaona Sanaa eti kiongozi anagoma kufungua kwa hiyo anasafiri umbali mrefu kwa gharama asijue kitu atakachokwenda kukifungua...
 
Kila mwajiriwa ana maboss 3 tu katika nchi hii, hao ndio huweza hata kumfukuza kazi
1. Rais
2. Katibu mkuu kiongozi na
3. Mkuu wa taasisi yako .
Mwenye taarifa zote na aliyekasimishwa mamlaka juu ya watumishi wote na RAIS ni katibu mkuu kiongozi.
Kwahiyo Katibu Mkuu Kiongozi kakwambia Tanzania kuna Taasisi 450?
 
TANESCO ikifutwa tutaishije wewe
Tena tutaishi vizuri sana, kwasasa tunaishi kwa bajeti ya pesa ambayo haipo mkononi, "mchongo ukikaa sawa nanunua kiwanja" afu mchongo unaruka kijiji, sawa na tenesko, unasema umeme ukirudi nitapona, unapumua kwa tabu mpka unakufa yenyewe yamekaa tu kama uji unasubiri kumiminwa [emoji36]
 
kwa sasa sita taja, wakili wangu kaenda kuongeza elimu nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom