Kalikenye_91
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 217
- 589
NIDA ni kichefuchefuNaona NIDA imeongoza kuwa kero kwa wananchi! kuna haja ya kuifanyia marekebisho.
Na ni rahisi tu! kuna ofisi zinazofanya almost kazi wanazofanya NIDA, hivyo ilipaswa NIDA iwe sehemu tu ya OFISI inayotoa vyeti vya kuzaliwa!
Ndhani ingekuwa rahisi sana maana wale wana uzoefu mkubwa katika tasnia hiyo.