Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Sijaiona bot 😃
Sehemu zinazogusa mwananchi wa kawaida nyingi zimejaa ubadhilifu tu
 
Toka lini polisi , wakalinda Mali za raia
Wauleze Wanao chukua lost report kwa ajili mali zao kama waliwai kuzipata bila rushwa.
Polisi tz ni KAZI ya shetani
Ha ha ha kwahiyo shetani yupo kazini, a.k maafande kulakula [emoji23]
 
Bunge lenyewe lifutwe na mahakama ....maana .....ngoja ninyamaze😷🤕
 
Bosi wa Taasisi zote ni Rais.Hakuna mtu mwingine tofauti na Rais anaweza kujiita bosi wa Taasisi zote.
 
Mahakama ya Mafisadi
 
Bassta
Bodi ya Filamu
TCRA
COSOTA (COOTA)
NDC....
 
ATCL ipigwe chini ni LIABILITY kwa taifa! Tuwaachie Private sector kama tulivyofanya kwenye mawasiliano! Tuache ndege ya Raisi Tu na nyingine tuigaie TAIFA STAR nyingine ikae ikikorishwa kwa watu binafsi na safari zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…