dongo jeusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 248
- 210
Hii haitakiwi kufutwa. Inatakiwa kupotezwa
Hao wapumbavu waliniFYALAMBALA nikaona upuuzi nikapiga chini kazi ila nawashukuru sidhani kama maisha ninayoishi ningeyapata huko kazini na hata nikafanikiwa kuhamia mjini pengine ningekuwa bado kijijini KAFYEMBWELEMBWANIC.
Walimu wanaijua vizuri hasa wale wa ndani ndani.
Polisi, mahakama na bunge lenyewe.Habari!
Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea.
Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutokana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha.
Kuna taasisi hazifai kabisa, zimeonyesha failure kwa kiwango kikubwa. Zilipaswa zifutwe haraka hata bila majadliano ya Bunge.
Binafsi BASATA ifutwe haraka.