Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

Wasaidizi wote wa taasis za rais wote waoneolewee abaki rais pekee akke
 
Pendekezo,
Mfano wizara ya mifugo iwe bodi ya mifugo halafu hayo maziwa, ngozi, nyama, mayai n.k ziwe ni department tu.
 
Bodies ya mikopo vyuo vikuu (HESLB ).watanzania wote tupo sawa wote tusome bure
 
Mtuache mnataka tukale wapi, naona mnataja Taasisi yetu, mnataka turudi Halmashauri au?
 
Habari!

Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea.

Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutokana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha.

Kuna taasisi hazifai kabisa, zimeonyesha failure kwa kiwango kikubwa. Zilipaswa zifutwe haraka hata bila majadliano ya Bunge.

Binafsi BASATA ifutwe haraka.
Polisi, mahakama na bunge lenyewe.
 
Back
Top Bottom