Watu tusiokasirika haraka nimegundua ni hatari sana.Yaani nakuwa mtu tofauti kabisa. Sio mwepesi kukasirika ila nikikasirika huwa mbogo
Aisee pole!Watu tusiokasirika haraka nimegundua ni hatari sana.
Mimi unaweza kukaa nami hata mwaka na ukajisemea moyoni mtu ndio huyu sasa.
Ngoja ziniwake sasa, ooh Mungu wangu..
Pili nimegundua, kadri umri unavyoongezeka na hasira zinapoa.
Kwasasa mimi nahisi nabadilika sasa.
Huo ni ugonjwa unaitwa Chekelea.....na unatibika.......kucheka cheka muda wote nikiwa naongea na mtu yeyote... Hii tabia siipendi lakini nashindwa kuiacha, msaada please... Yaan hadi hapa nilipo naandika hii komenti nacheka cheka tu na kutabasamu...
Ngoja utapata dawaHuko kuona aibu ndio tabia nayoichukia kutoka kwangu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wewe ni mtu wa 4 sasa kwenye hii jamii ya ambao kuwa seriously wameshindwa...[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Dawa yenu ipo jikoni.. mbona mtakua serious tuu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji119][emoji119][emoji1666]
[emoji23][emoji23] kuna muda nataman ungeniazima hiyo tabia kuna mbuzi zikisumbua nazitawanya.Hahaha halafu nikijawa na hasira nahisi nguvu ya ajabu ndani yangu.
Nikimaliza kukoroma najichukia, huwezi amini wale wa Dom wamenipiga chapa hadi leo[emoji23][emoji23]
Hapana Mkuu...Jkt ulipita bestie
Dawa yake ni nini bibie??Ngoja utapata dawa
[emoji1787] mimi mwenyewe kuna siku nilitaka kukukimbia. Ila kuna muda ni sawa tu hakuna mtu atakuletea mambo ya hovyo.Unavyonijua nikikoroma huwa kuna mtu anasimama mbele yangu!!!
Sema tu ukweli
Duuuh 🤓🤓🤓🤓🤓😂😂😂Ww ni wa kike au kiume?
Nikodishe haha.[emoji23][emoji23] kuna muda nataman ungeniazima hiyo tabia kuna mbuzi zikisumbua nazitawanya.
Ngoja waje waseme😂😂🤓🤓[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23] Zipo nyingi ila ile ndio imezidi. Yule angepata kama wewe umnyoosheNikodishe haha.
Sema huwa siwezi kukoroma bila sababu au kumwonea mtu, hilo siwezi.
Wewe mbuzi yako si moja tu ile?
Mkuu hii nayo pia ipo kwangu, watu wananiona nipo siriazi mno kiasi kwamba hata kuniongelesha wanaogopa. Nimeshapata malalamiko kutoka kwa watu zaidi ya wa5.Watu wanasema nipo serious sanaa... but nipo normal yan had wananiogopa,wengine wanasema kauzu sanaaa. Yan ata sielewii yn
Watakavyokuja ndivyo watakavyopokelewa. NimeipendaMimi nikikusalimia mara mbili tatu afu wewe ukinikuta hunisalimii mpaka nikuanze utahisi Mimi ni mtu mmoja nna dharau sana .....yaani nitakavyomute hutakaa uamini.....siwezi kujipendekeza hasa kazini ila mzigo napiga hasa ...... Utakavyonijia ndivyo nitakavyo kutreat ukija na dharau unakutana nayo ukija mnyeyekevu na Mimi ntakunyeyekea.....watu wameniharibu Tabia.....
[emoji848][emoji848]Mkuu hii nayo pia ipo kwangu, watu wananiona nipo siriazi mno kiasi kwamba hata kuniongelesha wanaogopa. Nimeshapata malalamiko kutoka kwa watu zaidi ya wa5.
Kuna dada aliwahi kumwambia ndugu yangu kuwa ananielewa sana ila ananiogopa nipo siriazi sana mda mwingi.
Nini? Ndivyo nilivyo but n mtu poa sana.[emoji848][emoji848]