Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Yaani nakuwa mtu tofauti kabisa. Sio mwepesi kukasirika ila nikikasirika huwa mbogo
Watu tusiokasirika haraka nimegundua ni hatari sana.

Mimi unaweza kukaa nami hata mwaka na ukajisemea moyoni mtu ndio huyu sasa.

Ngoja ziniwake sasa, ooh Mungu wangu..

Pili nimegundua, kadri umri unavyoongezeka na hasira zinapoa.

Kwasasa mimi nahisi nabadilika sasa.
 
Aisee pole!

Mimi natamani ziishe hata leo.
 
...kucheka cheka muda wote nikiwa naongea na mtu yeyote... Hii tabia siipendi lakini nashindwa kuiacha, msaada please... Yaan hadi hapa nilipo naandika hii komenti nacheka cheka tu na kutabasamu...
Huo ni ugonjwa unaitwa Chekelea.....na unatibika....
 
Wewe ni mtu wa 4 sasa kwenye hii jamii ya ambao kuwa seriously wameshindwa...[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Dawa yenu ipo jikoni.. mbona mtakua serious tuu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji119][emoji119][emoji1666]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Unavyonijua nikikoroma huwa kuna mtu anasimama mbele yangu!!!

Sema tu ukweli
[emoji1787] mimi mwenyewe kuna siku nilitaka kukukimbia. Ila kuna muda ni sawa tu hakuna mtu atakuletea mambo ya hovyo.
Nimemkumbuka yule baba wa Kariakoo [emoji1787]
 
[emoji23][emoji23] kuna muda nataman ungeniazima hiyo tabia kuna mbuzi zikisumbua nazitawanya.
Nikodishe haha.
Sema huwa siwezi kukoroma bila sababu au kumwonea mtu, hilo siwezi.
Wewe mbuzi yako si moja tu ile?
 
Mimi nikikusalimia mara mbili tatu afu wewe ukinikuta hunisalimii mpaka nikuanze utahisi Mimi ni mtu mmoja nna dharau sana .....yaani nitakavyomute hutakaa uamini.....siwezi kujipendekeza hasa kazini ila mzigo napiga hasa ...... Utakavyonijia ndivyo nitakavyo kutreat ukija na dharau unakutana nayo ukija mnyeyekevu na Mimi ntakunyeyekea.....watu wameniharibu Tabia.....
 
Watu wanasema nipo serious sanaa... but nipo normal yan had wananiogopa,wengine wanasema kauzu sanaaa. Yan ata sielewii yn
Mkuu hii nayo pia ipo kwangu, watu wananiona nipo siriazi mno kiasi kwamba hata kuniongelesha wanaogopa. Nimeshapata malalamiko kutoka kwa watu zaidi ya wa5.
Kuna dada aliwahi kumwambia ndugu yangu kuwa ananielewa sana ila ananiogopa nipo siriazi sana mda mwingi.
 
Mimi nikikusalimia mara mbili tatu afu wewe ukinikuta hunisalimii mpaka nikuanze utahisi Mimi ni mtu mmoja nna dharau sana .....yaani nitakavyomute hutakaa uamini.....siwezi kujipendekeza hasa kazini ila mzigo napiga hasa ...... Utakavyonijia ndivyo nitakavyo kutreat ukija na dharau unakutana nayo ukija mnyeyekevu na Mimi ntakunyeyekea.....watu wameniharibu Tabia.....
Watakavyokuja ndivyo watakavyopokelewa. Nimeipenda
 
Mkuu hii nayo pia ipo kwangu, watu wananiona nipo siriazi mno kiasi kwamba hata kuniongelesha wanaogopa. Nimeshapata malalamiko kutoka kwa watu zaidi ya wa5.
Kuna dada aliwahi kumwambia ndugu yangu kuwa ananielewa sana ila ananiogopa nipo siriazi sana mda mwingi.
[emoji848][emoji848]
 
1.kupenda asee yooo nkpenda mdada mmja ni huyo huyo swez kucheat wala kua na mwngn had tuachane

2. Kujchanganga na watu ni kitu nmeshndwa kbsa na kuwazoea watu bila sabab swez kbsa

3.kua alone asee naeza shnda ndan weekend kama sina shuguli na nisitoke nje had siku ya kazi

4.kupiga simu wallh hii had wazaz wameongea wamechoka swez simu yangu inaeza kaa mwaka sina salio la kupiga

5. Kutabasam natamnig niwe kauz lakn hapan tukiongea na wanaonjua bas lazma nitabasamu huwa sipend

6.siwez kuvumilia zqrau hata uwe nan na unamchqngo gan kwan swala la knzarau utayakanyaga huwaga nakua hasira sana na nitakayokuqmbia hutakaa uamn mda mwngn had huwa natetemeka mtu aknzarau nb. Sina kasoro yyte kwa ninavyojiona i mean sina ulemavu wala u sngle sell wala so mfupi

7.ku approach manzi for too long akreject for 3 times bas siez kuendelea wala kuja kusema tenah na almost walioweng huwa nafuta contact zao kbsa ukion contact ake imebak bas n kwa ajil ya mamb mengn sio backup wala ombi mbelen

NB:hilo no 1 ndio linantesa sana coz huwa nachukuliwa poa sana natamn niache asee mana mdada akjua kwake umefik bas mateso mtupu sipendiiiiiiiii
 
Kuna tabia nyingine ambayo kwa % kubwa naelekea kuondokana nayo. Nilikuwa siwezi kumnyima mtu hela au kitu kama ninacho, kuna siku kuna kauli ilimtoka mtu niliona kama kanidharau sana na nikaona haja ya kuanza kubadilika. Tulipishana kidogo akaniomba hela nikamwambia sina, akaniambia najua utanipa tu hujuagi kumnyima mtu hizo ni hasira tu zikipoa utanipa, alisema ukweli ila niliona nna haja ya kubadilika.
 
Back
Top Bottom