[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana.nakaa pemben nakata nazitenga pemben nikimaliza naanza kula moja moja
Mwambie anitafuteYuko poa.
Poa.Mwambie anitafute
Namba 2 dawa ninayo😂Mimi ni mwepesi sana kulia yaani sijui nipoje. Hapa yenyewe kuna mtu tumepishana kidogo tu tayari machozi. Sipendi hii hali [emoji57][emoji57]
Kinyongo. Ni mzito kukasirika ila ikitokea nimekasirika kweli inakua ndio kwa kheri kitu msamaha hapo ni kipengele. Nitatembea na masikitiko muda mrefu hii hali inanitesa sana na sijui natokaje huko aargh
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125] Hii nimechukua kwa mama angu aisee yule mtu akikukasirikia hamna rangi utaacha ona. Huwa namuambia kaniharibu sana mwanae.Namba 2 dawa ninayo[emoji23]
hizo za miguu unakula kwa style gani?Kula Kucha, Wanangu hii ishu ishanishinda nakula zote yani hadi za miguu.
Yaani wewe katika hilo umekuwa lekchara wake kwasasa[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125] Hii nimechukua kwa mama angu aisee yule mtu akikukasirikia hamna rangi utaacha ona. Huwa namuambia kaniharibu sana mwanae.
[emoji23][emoji23][emoji23] haya yameisha.Yaani wewe katika hilo umekuwa lekchara wake kwasasa
Fanye ile kazi basi?[emoji23][emoji23][emoji23] haya yameisha.
Pole sanaHuko kuona aibu ndio tabia nayoichukia kutoka kwangu.
Naona umewasiliPole sana
SawaFanye ile kazi basi?
🤭Inaongelewa addicted tabiaNaona umewasili
[emoji23][emoji23]Nasubiri pesa za tray za mayai [emoji23]
Utakuja kupigwa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Siachi ndo nishazoea
..kunywa soda ya PepsiKama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.
Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum
Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?