Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Mimi ni mwepesi sana kulia yaani sijui nipoje. Hapa yenyewe kuna mtu tumepishana kidogo tu tayari machozi. Sipendi hii hali [emoji57][emoji57]
Kinyongo. Ni mzito kukasirika ila ikitokea nimekasirika kweli inakua ndio kwa kheri kitu msamaha hapo ni kipengele. Nitatembea na masikitiko muda mrefu hii hali inanitesa sana na sijui natokaje huko aargh