Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Mimi ni mwepesi sana kulia yaani sijui nipoje. Hapa yenyewe kuna mtu tumepishana kidogo tu tayari machozi. Sipendi hii hali [emoji57][emoji57]

Kinyongo. Ni mzito kukasirika ila ikitokea nimekasirika kweli inakua ndio kwa kheri kitu msamaha hapo ni kipengele. Nitatembea na masikitiko muda mrefu hii hali inanitesa sana na sijui natokaje huko aargh
 
Namba 2 dawa ninayo😂
 
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125] Hii nimechukua kwa mama angu aisee yule mtu akikukasirikia hamna rangi utaacha ona. Huwa namuambia kaniharibu sana mwanae.
Yaani wewe katika hilo umekuwa lekchara wake kwasasa
 
sasa mimi kwa upande wangu sijajua ni tabia au ni weakness,Nina changamoto moja huwa inanitesa sana yaani nina mwandiko mbaya (handwriting) huwa naona aibu kuandika mbele za watu.Wakuu hii ni changamoto inayoweza kurekebishika ukubwani au ndio imetoka hivyo na hairudi!!!??(yaani kurekebisha mwandiko)

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.

Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum

Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?
..kunywa soda ya Pepsi
 
Back
Top Bottom