Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo naona nikujikumbusha kwa haraka ndio tiba yake kama umejua unahasira ni rahisi pia kudhibiti ingawa ni process ya muda mrefu..Hasira, kwangu hili tatizo linanisumbua sana natamani kuwa mtulivu hata kwenye wakati mgumu ila nikishakuwa na hasira nakuwa mtu tofauti kabisa 😒
Najaribu sana ila kuna wakati na lose control.Hapo naona nikujikumbusha kwa haraka ndio tiba yake kama umejua unahasira ni rahisi pia kudhibiti ingawa ni process ya muda mrefu..
😂🤣 tatizo la wengiHasira, kwangu hili tatizo linanisumbua sana natamani kuwa mtulivu hata kwenye wakati mgumu ila nikishakuwa na hasira nakuwa mtu tofauti kabisa 😒
Bora wewe😂😂🤣 tatizo la wengi
Mimi mtu mpaka akimess up intentionally, napanick.. nikipanick nakuwa kimya.. simsemeshi. Hata akisemesha nakosa kabisa nguvu ya kuongea, nabaki namwangalia tu 🤣🤣
Hiyo hali inaweza dumu lisaaa lizima ama nusu saa.ikikata nasahau kabisa… tunaendeleza maisha
mimi naamini nakuzidi ufahamu wa vutu vingi, ila haisaidii kitu. Since Aibu ini personality it has nothing to do with knowingJitahidi kufahamu vitu vingi tofautitofauti aibu inapotea..
Am 30 brojipe muda na matumaini zaidi bado muda wako hujafika.
Nifuate na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kutokuwa serious yaani muda mwingi natamani kuwa serious lakini ni ngumu. Hata iwe kwa jambo la serious kiasi gani.
Imefikia kipindi hata napotoa wazo huwa wanaona funny ila mpaka wakae kwa mda wafikilie tena.
Hii sasa imekua changamoto mpaka kwenye mahusiano maana mtu anashindwa kujua nipo serious na mahusiano au nafanya utani.
sijui itaachana nayo vipi'...?
Nimejaribu ila nashindwa narudi pale pale..
Mbele za watu hata niseme niwe serious kiasi gani, basi kila nacho kiongea kinapokelewa tofauti
Watacheka tuu..
haijawahi tokea nikaongea mbele za watu dakika chini ya dakika 3 wasicheke.
Na sio kwamba nayoongea yanachekesha hapana.. au nina muonekano wa kuchekesha hapana.. au lafudhi hapana...
Zamani nilikua napenda ila.kwa sas naichukia hii hali maana kuna sehemu naona tafeli 🤓🤓🙌
Robert Heriel MtibeliHiyo ni Tabia YANGU.
Siwezi kuwa serious. Na utani wangu ndio u- serious wangu.
Muda wote nachukulia mambo simple, rahisi na majibu rahisi kwenye mambo magumu.
Naipenda Hali na tabia Hii Kwa sabymuda mwingi 90% ninafuraha.
Maisha nayachukulia kama mchezo Fulani hivi ambao hauhitaji u- serious.
Bado ujasema 😂😂😂😂😂😂Utani na masihara, mtu anaweza kunitongoza asijue km nimemkubali au nimemkataa. Nishatukanwa na men wengi baada ya kugundua simaanishi kile nilichowakubalia 🤣🤣🤣🤣
Niko hivo sipendi kununa, unaweza kukasirika me nikawa nacheka SITUNZI HASIRA
Na wengi wetu wenye tabia za kutokua serious ni group O 🤣🤣🤣Hiyo ni Tabia YANGU.
Siwezi kuwa serious. Na utani wangu ndio u- serious wangu.
Muda wote nachukulia mambo simple, rahisi na majibu rahisi kwenye mambo magumu.
Naipenda Hali na tabia Hii Kwa sabymuda mwingi 90% ninafuraha.
Maisha nayachukulia kama mchezo Fulani hivi ambao hauhitaji u- serious.
Mnajipendelea tuu🤓😂Na wengi wetu wenye tabia za kutokua serious ni group O 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Na nitasema tyuu!!Bado ujasema 😂😂😂😂😂😂
Ukweli ndo huo 🤣🤣🤣Mnajipendelea tuu🤓😂
Sasa hiyo tabia punguza...🤣🤣🤣🤣 Na nitasema tyuu!!
Sio shida zangu kabisaaa