Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Robert Heriel Mtibeli
Ujawahi pata shida ya kimahusiano kisa hii tabia yako .?
Wanaokuzunguka je huoni kuna fursa unaweza kosa kwa kukuchukulia wewe sio serious..?
Maana mimi hicho ndo kinafanya now nianze kuikataa hi hali

Hapana. Mahusiano hayajawahi kunisumbua mpaka dakika Hii. Kwa Hilo nashukuru Mungu.

1. Nina utani na masikhara Hii inanifanya niwe Mcheshi.
2. Nina Stori za Uongo na kweli na Drama za hapa na pale. Yaani sipo serous.
Nikichukia ujue nipo kwenye igizo. Siwezi Kutoka. Ila Kwa sasa ndio najifunza ili nione nikifoka ninaonekanaje Kwa Watu. Na watu wananichukuliaje.

3. Mahusiano hayanisumbui Kwa sababu nachagua Watu wanaofanana Akili na tabia kama Mimi.

Sio tatizo kunikuta Mimi na Mchumba wangu tunarekodi video au kuleta drama za hapa na pale. Ishu ya wananchi wataonaje hiyo haipo juu yetu.

4. Uchokozi ni moja ya tabia yangu. Inayonisaidia kujua Akili na tabia ya MTU.
Kuchokozwa kwangu sio kesi Kwa sababu ninahimili na hasira zangu ziko mbali Sana.
 
""""Mahusiano hayanisumbui Kwa sababu nachagua Watu wanaofanana Akili na tabia kama Mimi.

Sio tatizo kunikuta Mimi na Mchumba wangu tunarekodi video au kuleta drama za hapa na pale. Ishu ya wananchi wataonaje hiyo haipo juu yetu""""

Wote akilia moja.. ni vituko mtindo mmoja.
Naskia wanapendaga mtu funny lakini katika ishu ya relationship huwa hawataki person wa namna hiyo..

Nimeongelea sana kwa relationship maana mi ndo shida kubwa ambayo kwa tabia yangu hii inafanya nishindwe kuwa na long time relationship.
Sasa huyo wa kufanana nae..🤓🤓🤓 serious nikute she ambaye awe like that ni utani tuuu mmmh kama impossible hivi mkuu
 
Siachi mpk waniue 🤣🤣🤣
Km huamini nitumie laki uone nitakavyorudishia fasta laki mbili 😜
🤓🤓🤓🤓🤓🤓😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Sasa mi userious wa kutuma laki... or > 50+ sina.. najua nitaua mtuu..
Alafu si unajua now angle za kutafuta watu zipp nyingi.
Usijiongopee kuwa hutorudisha, nitakudaka tu 😂😂😂🤓🤝
 
""""Mahusiano hayanisumbui Kwa sababu nachagua Watu wanaofanana Akili na tabia kama Mimi.

Sio tatizo kunikuta Mimi na Mchumba wangu tunarekodi video au kuleta drama za hapa na pale. Ishu ya wananchi wataonaje hiyo haipo juu yetu""""

Wote akilia moja.. ni vituko mtindo mmoja.
Naskia wanapendaga mtu funny lakini katika ishu ya relationship huwa hawataki person wa namna hiyo..

Nimeongelea sana kwa relationship maana mi ndo shida kubwa ambayo kwa tabia yangu hii inafanya nishindwe kuwa na long time relationship.
Sasa huyo wa kufanana nae..🤓🤓🤓 serious nikute she ambaye awe like that ni utani tuuu mmmh kama impossible hivi mkuu

Utapata tuu.
Muhimu Tabia ya mtu isiathiri utafutaji wake.
 
🤓🤓🤓🤓🤓🤓😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Sasa mi userious wa kutuma laki... or > 50+ sina.. najua nitaua mtuu..
Alafu si unajua now angle za kutafuta watu zipp nyingi.
Usijiongopee kuwa hutorudisha, nitakudaka tu 😂😂😂🤓🤝
🤣🤣🤣🤣 si tunataniana tyuu!!
Hebu tuma bhana nawe, laki kitu gani mpk umtafute mtu km kakutoa uhai 😂😂
Si unatafuta zingine
 
Kama tupo kwenye utani sawa natuma kiutani utani...
Namba ni ile ile au ushabadilisha mtani..😂😂😂🤓🤓
 
Tabia yangu nikumuahidi mtu jambo nisiloweza kulitimiza,tena naweza kumuahidi kwakusisitizi hii tabia imekuwa sugu mno saana kwangu

Huwa najipanga kuiacha lakini najipata nashindwa kabisa
kitu ambacho najuwa kabisa siwezi ila naweza nikakuahidi
watu wangu wa karibu wananilakamikia saana kuhusu hii tabia ila kwangu imekuwa ngumu kuiepuka
Wasikusikilize tuu,yaani wapuuzie ahadi unazowapa.
Maybe [emoji848] utajiskia aibu na kuacha kuongea vitu vinavyokuzidi uwezo.
 
Ukali uliopitiliza.
To be honest mimi ni MKALI hadi najiogopa.

Ninapokasirika hakuna mtu huwa na nguvu mbele yangu.

Ni vigumu sana kunikasirisha au kuniona nimekasirika katika maisha halisi.

Lakini nikikasirika huwa hapatoshi.

Hasira zimenitia hasara kadhaa but nashindwa kuziacha.

Hasira zikiisha naona aibu

Eee Mungu nisaidie mimi
 
Back
Top Bottom