Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Robert Heriel Mtibeli
Ujawahi pata shida ya kimahusiano kisa hii tabia yako .?
Wanaokuzunguka je huoni kuna fursa unaweza kosa kwa kukuchukulia wewe sio serious..?
Maana mimi hicho ndo kinafanya now nianze kuikataa hi hali
Hapana. Mahusiano hayajawahi kunisumbua mpaka dakika Hii. Kwa Hilo nashukuru Mungu.
1. Nina utani na masikhara Hii inanifanya niwe Mcheshi.
2. Nina Stori za Uongo na kweli na Drama za hapa na pale. Yaani sipo serous.
Nikichukia ujue nipo kwenye igizo. Siwezi Kutoka. Ila Kwa sasa ndio najifunza ili nione nikifoka ninaonekanaje Kwa Watu. Na watu wananichukuliaje.
3. Mahusiano hayanisumbui Kwa sababu nachagua Watu wanaofanana Akili na tabia kama Mimi.
Sio tatizo kunikuta Mimi na Mchumba wangu tunarekodi video au kuleta drama za hapa na pale. Ishu ya wananchi wataonaje hiyo haipo juu yetu.
4. Uchokozi ni moja ya tabia yangu. Inayonisaidia kujua Akili na tabia ya MTU.
Kuchokozwa kwangu sio kesi Kwa sababu ninahimili na hasira zangu ziko mbali Sana.