Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Hasira, kwangu hili tatizo linanisumbua sana natamani kuwa mtulivu hata kwenye wakati mgumu ila nikishakuwa na hasira nakuwa mtu tofauti kabisa πŸ˜’
Hapo naona nikujikumbusha kwa haraka ndio tiba yake kama umejua unahasira ni rahisi pia kudhibiti ingawa ni process ya muda mrefu..
 
Sipendi hii tabia ya huku duniani kuwa charming…muda mwingi nakuwa happier.. ikitokea siku nakuwa busy + kimya na mambo yangu wanaonizunguka wanaanza kuuliza ninawaza nn? Nani kanikwaza… wanajua napenda Fanta 🀣 basi wanaanza kusema waninunulie fanta.
 
Hasira, kwangu hili tatizo linanisumbua sana natamani kuwa mtulivu hata kwenye wakati mgumu ila nikishakuwa na hasira nakuwa mtu tofauti kabisa πŸ˜’
πŸ˜‚πŸ€£ tatizo la wengi

Mimi mtu mpaka akimess up intentionally, napanick.. nikipanick nakuwa kimya.. simsemeshi. Hata akisemesha nakosa kabisa nguvu ya kuongea, nabaki namwangalia tu 🀣🀣

Hiyo hali inaweza dumu lisaaa lizima ama nusu saa.ikikata nasahau kabisa… tunaendeleza maisha
 
Bora weweπŸ˜‚

Mimi navunja vitu aisee, naweza Hata kukurushia kitu ukaumia baadae ndio nitajutiaπŸ˜’
 

Hiyo ni Tabia YANGU.
Siwezi kuwa serious. Na utani wangu ndio u- serious wangu.
Muda wote nachukulia mambo simple, rahisi na majibu rahisi kwenye mambo magumu.

Naipenda Hali na tabia Hii Kwa sabymuda mwingi 90% ninafuraha.

Maisha nayachukulia kama mchezo Fulani hivi ambao hauhitaji u- serious.
 
Utani na masihara, mtu anaweza kunitongoza asijue km nimemkubali au nimemkataa. Nishatukanwa na men wengi baada ya kugundua simaanishi kile nilichowakubalia 🀣🀣🀣🀣
Niko hivo sipendi kununa, unaweza kukasirika me nikawa nacheka SITUNZI HASIRA
 
Robert Heriel Mtibeli
Ujawahi pata shida ya kimahusiano kisa hii tabia yako .?
Wanaokuzunguka je huoni kuna fursa unaweza kosa kwa kukuchukulia wewe sio serious..?
Maana mimi hicho ndo kinafanya now nianze kuikataa hi hali
 
Bado ujasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na wengi wetu wenye tabia za kutokua serious ni group O 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣 Na nitasema tyuu!!
Sio shida zangu kabisaaa
Sasa hiyo tabia punguza...
Kuna watu tupo straight tutakuzabua serious..
Wee mtu anafanya serious wee unachukulia utani... ndo nini hii πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…