Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
π€π€π€π€π€ Yaan assume inatokea kipindi watu wana kuwa bored...ππ Inawezekana pia husomi alama za nyakati kuna muda unakuwa smart kwanzia ongea mpaka vaa YAKO sasa labdah shida YAKO unaleta uswahili Mda wa ibada lazima watu wacheke badili mkuu
Hata mm nilikuwaga kama ww.....sema kuna mahali unafika watu sio wa utani kabisaa ndoo hayo maelezo yanaapply
Yaaani wee kiufupi ni don't care π€π€π€π€π€π€Mimi kuwa serious sana halafu napenda kukaa peke yangu pia sina rafiki na sihitaji mambo yangu namaliza mwenyewe na kingine kinachonisumbua swala la kumtongoza mwanamke kwangu ni gumu coz naona kama naishusha value yangu yani ile kumfata she nakuanza blah blah mingi huwa naona naishusha hadhi yangu na kama nikijtahidi nikakutongoza ukachomoa ndio bac tena huwa sina muda wa kumbembeleza mtu
Yeah..sijali hapa home washkaji huwa wanapenda kukaa nje kijiweni hapo kupiga stori ila mimi hapo kwa mwaka naweza kaa mara moja au mbili nikitoka job ni salam halafu ndani nahuwa sitaki mazoea sana na watu sina rafiki na hata ukitaka kuleta urafiki namimi ntakukataa tu kimtindo utajua tu mwamba ataki ushkajiYaaani wee kiufupi ni don't care π€π€π€π€π€π€
Wewe ni mtu wa 4 sasa kwenye hii jamii ya ambao kuwa seriously wameshindwa...π€π€π€π€Kupenda kucheka...Kila nikijitahidi kuacha nashindwa....Mambo serious lakini lazima kicheko kitahusika tu.....
Kulia....Oooooh!!! Hii ndiyo natafuta hata dawa ya kunisaidia niache/nipunguze......Sipendi....
Mara nyingi nyie watu wa usalama mnakuaga mpo hivo..π€π€π€π€Yeah..sijali hapa home washkaji huwa wanapenda kukaa nje kijiweni hapo kupiga stori ila mimi hapo kwa mwaka naweza kaa mara moja au mbili nikitoka job ni salam halafu ndani nahuwa sitaki mazoea sana na watu sina rafiki na hata ukitaka kuleta urafiki namimi ntakukataa tu kimtindo utajua tu mwamba ataki ushkaji
The same here jamani, Yani siku nikisema leo nitulie nijinyamazie....watu wanaanza kujistukia Kama wamenikwaza.Sipendi hii tabia ya huku duniani kuwa charmingβ¦muda mwingi nakuwa happier.. ikitokea siku nakuwa busy + kimya na mambo yangu wanaonizunguka wanaanza kuuliza ninawaza nn? Nani kanikwazaβ¦ wanajua napenda Fanta π€£ basi wanaanza kusema waninunulie fanta.
Mkuu hii inakuaje coz mtaani wana wanadhani mi usalama na nishaiskia mara nyingi kuna sehem huwa napeleka nguo zangu kushonwa sasa hapo kuna wana huwa wanachoma sana nyasi, nikaja kuskia tetesi wale washkaj wakidai mi ni usalama na kila wanaponiona wanajawa na hofu na mbaya zaidi kuna mmoja aliokoto simu ya wizi bac mapai wakaja kuwadaka kama kuku washkaj mpaka leo wanajua mi ndio nilifanikisha ile mishen bac huwa nacheka sanaMara nyingi nyie watu wa usalama mnakuaga mpo hivo..π€π€π€π€
Ndio ethic za kazi nini.. ?π€π€
But whyπ€£π€£π€£? Yani Baba K anaweza kunikwaza akitarajia ntanuna nipasuke, halafu unakuta mi niko cool, akiniuliza umenisamehe, namjibu nimekusamehe....huwa haamini ananiambia huwezi kunisamehe kirahisi hivyoπ€£π€£π€£π€£ kununa ndo kitu sijuagiπ€£π€£π€Na wengi wetu wenye tabia za kutokua serious ni group O π€£π€£π€£
Jkt ulipita bestieKupenda kucheka...Kila nikijitahidi kuacha nashindwa....Mambo serious lakini lazima kicheko kitahusika tu.....
Kulia....Oooooh!!! Hii ndiyo natafuta hata dawa ya kunisaidia niache/nipunguze......Sipendi....
Ni wewe ...Mkuu hii inakuaje coz mtaani wana wanadhani mi usalama na nishaiskia mara nyingi kuna sehem huwa napeleka nguo zangu kushonwa sasa hapo kuna wana huwa wanachoma sana nyasi, nikaja kuskia tetesi wale washkaj wakidai mi ni usalama na kila wanaponiona wanajawa na hofu na mbaya zaidi kuna mmoja aliokoto simu ya wizi bac mapai wakaja kuwadaka kama kuku washkaj mpaka leo wanajua mi ndio nilifanikisha ile mishen bac huwa nacheka sana
Hii wewe unajitafutia mwenyewe π€π€π€π€π€Natongoza wanawake bila mpangilio, natamani niache lakini najikuta nimerudia hali hiyo.
Bora wewe mkuu mimi kutongoza huwa siwez labda mwenyew uingie kwenye point zangu swala la kutongoza huwa naona kama naishusha value yanguNatongoza wanawake bila mpangilio, natamani niache lakini najikuta nimerudia hali hiyo.
Umeanza naweweππππNi wewe ...
π€πππ ukute upo kitengoni...
Na kama si hivo be social tuuπ€π€π€
Mii nimestuka mapema mno.Umeanza naweweππππ
Nilikua natafuta comment ya namna hiiNyeto
Walinifanya mpaka nikaacha kuvaa mavazi ya heshima kuchomekea kwa sana suruali ya kitambaa na shati za maana maana kelele zilikuwa nyingi saiz navaa model tishet na converse ile kiharakati kama vijana wa mjini saiz wamegeuza wanasema mi usalama naeishi kisela ili niendelee kupata habari za kitaa kiurahisiMii nimestuka mapema mno.
Baada ya kusoma first comment yako..π€π€π€