Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
π€π€π€π€π€ Yaan assume inatokea kipindi watu wana kuwa bored...ππ Inawezekana pia husomi alama za nyakati kuna muda unakuwa smart kwanzia ongea mpaka vaa YAKO sasa labdah shida YAKO unaleta uswahili Mda wa ibada lazima watu wacheke badili mkuu
Hata mm nilikuwaga kama ww.....sema kuna mahali unafika watu sio wa utani kabisaa ndoo hayo maelezo yanaapply
Sasa mimi nitaambiwa ni must niongee ili tuu watu wawe on mood ili process ziendeleee