Nifuate na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kutokuwa serious yaani muda mwingi natamani kuwa serious lakini ni ngumu. Hata iwe kwa jambo la serious kiasi gani.
Imefikia kipindi hata napotoa wazo huwa wanaona funny ila mpaka wakae kwa mda wafikilie tena.
Hii sasa imekua changamoto mpaka kwenye mahusiano maana mtu anashindwa kujua nipo serious na mahusiano au nafanya utani.
sijui itaachana nayo vipi'...?
Nimejaribu ila nashindwa narudi pale pale.
Mbele za watu hata niseme niwe serious kiasi gani, basi kila nacho kiongea kinapokelewa tofauti
Watacheka tuu.
haijawahi tokea nikaongea mbele za watu dakika chini ya dakika 3 wasicheke.
Na sio kwamba nayoongea yanachekesha hapana.. au nina muonekano wa kuchekesha hapana.. au lafudhi hapana.
Zamani nilikua napenda ila.kwa sas naichukia hii hali maana kuna sehemu naona tafeli 🤓🤓🙌