Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Ule ujumbe ulionipa siku ile ukurudie na wewe.
Kuna tofauti kubwa ya ukali na kiburi au kinyongo, mimi nikikukoromea na a hasira zikiisha tunacheka, wewe sasa ndio tatizo unapaswa uombe sana ubadilike😂
 
Walinifanya mpaka nikaacha kuvaa mavazi ya heshima kuchomekea kwa sana suruali ya kitambaa na shati za maana maana kelele zilikuwa nyingi saiz navaa model tishet na converse ile kiharakati kama vijana wa mjini saiz wamegeuza wanasema mi usalama naeishi kisela ili niendelee kupata habari za kitaa kiurahisi
🤓🤓🤓🤓🤝🤓 kumbe wee hata huwelewi ni harakati zako tuuu....
Daaah sema ni good ndo inavyotakiwa ila usizoidishe sana kujifungia mkuu...
Maana kuna uhitaji mkubwa sana wa kuwa socialize na wengine
 
Juzi nilichukua pikipiki tvs kwenda kumtega manzi fulani maeneo ya sinza mapambano sasa pale kuna washkaji huwa wanapenda sana kuchoma karibuni na mtoni pale aisee nilivofika tu nikatia brek kuna mwana mmoja akanisalimia kwa heshima sana karibu mkuu zikawa nyingi nikamwambia ahsante kiongozi nikaendelea na mambo yangu ghafla nashangaa wana wanaondoka mmoja mmoja kuja kustuka mpaka yule alienikaribisha pia ashasepa kitambo kijiwe kimebaki empty aisee nilicheka sana
 
Tabia yangu nikumuahidi mtu jambo nisiloweza kulitimiza,tena naweza kumuahidi kwakusisitizi hii tabia imekuwa sugu mno saana kwangu

Huwa najipanga kuiacha lakini najipata nashindwa kabisa
kitu ambacho najuwa kabisa siwezi ila naweza nikakuahidi
watu wangu wa karibu wananilakamikia saana kuhusu hii tabia ila kwangu imekuwa ngumu kuiepuka
Kama wewe siyo mwanasiasa,ingia kwenye siasa,kunakufaa huko.
 
Juzi nilichukua pikipiki tvs kwenda kumtega manzi fulani maeneo ya sinza mapambano sasa pale kuna washkaji huwa wanapenda sana kuchoma karibuni na mtoni pale aisee nilivofika tu nikatia brek kuna mwana mmoja akanisalimia kwa heshima sana karibu mkuu zikawa nyingi nikamwambia ahsante kiongozi nikaendelea na mambo yangu ghafla nashangaa wana wanaondoka mmoja mmoja kuja kustuka mpaka yule alienikaribisha pia ashasepa kitambo kijiwe kimebaki empty aisee nilicheka sana
Usalama wa mchongo...
Sasa wewe hapo unaweza pia ku take advantage kwa muonekano wako mkuu...🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
🤓🤓🤓🤓🤝🤓 kumbe wee hata huwelewi ni harakati zako tuuu....
Daaah sema ni good ndo inavyotakiwa ila usizoidishe sana kujifungia mkuu...
Maana kuna uhitaji mkubwa sana wa kuwa socialize na wengine
Hilo najitahidi sana kuliacha mkuu japo faida zake kiac ni kubwa coz naheshimiwa na watu wote coz sina mazoea ya ovyo na watu
 
kumpigia Mzee simu yakumjulia hali.ashazoea akiona wikimoja sijatimba nyumbani kwake kumuona anapiga simu mwenyewe.siwezi kumpigia kama Sina inshu yamaana kwake ninacho jitahidi nikwenda kumuona tuu angalau lisaa limoja nasepa..

ananilaumu kwanini wikinzima sipigi simu namwambia kazi Mzee😅😅
Humpendi kutoka ndani, unajilazimisha tu
 
Usalama wa mchongo...
Sasa wewe hapo unaweza pia ku take advantage kwa muonekano wako mkuu...🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Sijui muonekano wangu huwa upoje coz wale jamaa awanijui kwanini wasinifikirie kama boda boda niliekuja kumsubili abiria ila wao moja kwa moja wamenichukulia mie kama shushushu
 
Nifuate na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kutokuwa serious yaani muda mwingi natamani kuwa serious lakini ni ngumu. Hata iwe kwa jambo la serious kiasi gani.

Imefikia kipindi hata napotoa wazo huwa wanaona funny ila mpaka wakae kwa mda wafikilie tena.

Hii sasa imekua changamoto mpaka kwenye mahusiano maana mtu anashindwa kujua nipo serious na mahusiano au nafanya utani.
sijui itaachana nayo vipi'...?
Nimejaribu ila nashindwa narudi pale pale.

Mbele za watu hata niseme niwe serious kiasi gani, basi kila nacho kiongea kinapokelewa tofauti
Watacheka tuu.

haijawahi tokea nikaongea mbele za watu dakika chini ya dakika 3 wasicheke.

Na sio kwamba nayoongea yanachekesha hapana.. au nina muonekano wa kuchekesha hapana.. au lafudhi hapana.

Zamani nilikua napenda ila.kwa sas naichukia hii hali maana kuna sehemu naona tafeli 🤓🤓🙌
andaa clip za kuchekesha upge hela
 
Huko naenda kufanya nini mkuu mi maisha yangu sinza, makumbusho, kijitonyama nikitoka hapo naenda ukanda wa ununio wa kunduchi na ununio huko ndiko machimbo yangu yangu ya stareh yalipo
Sawa sawa sasa hao hao wanaweza wanaweza kukuungia
 
Back
Top Bottom