Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

dah tabia ya utapeli hyo
 
Sawa sawa sasa hao hao wanaweza wanaweza kukuungia
Wanajuaje wakati maisha yangu ni secreti mi nikiwa ndani ujui na nikitoka ujui naweza kukaa ndani hata week nzima nisitoke nje. Kinachonitoa ndani ni simu za kazi sometime saa nane au tisa usiku unapigiwa simu uliamshe muda huo huo uende dodoma au moro yani kukikucha ukute tayari ushafika kitengo
 
Duuuh.... aiseeeee weeeeh ni hatareree
 
Kutafuna Big G, yaan napenda Big G balaaa tena nikiwa busy najisahau naitafuna kama kindege huku napuliza na puto [emoji2960].... kuanzia utotoni Mama alikua ananisema sana niache hadi sasa ukubwani Mume nae ana kazi ya kuniachisha ila wapiiiii, anachofanya ni kuweka mkono wake na kuniambia niiteme imeisha utamu, ila baada ya muda nishamenya nyingine [emoji849]
 
Umri wako tafadhali
 
Unapuliza na puto kumbe khaaa
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mnasema hivo hivo
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Mkuu acha tu inabidi ukung'ute gia usiku mnene kwa mwendo wa hatari mnapishana na maroli uwahi muda uliopangiwa kufika kitengo ukafanye jukumu lako aisee sio poa
 
Wewe ni pacha wa Ferguson 🀣🀣🀣
 
ukiwa unaongea jaribu kuweka sura ya mbuzi na kukazia watu machoni
 
Mkuu acha tu inabidi ukung'ute gia usiku mnene kwa mwendo wa hatari mnapishana na maroli uwahi muda uliopangiwa kufika kitengo ukafanye jukumu lako aisee sio poa
Hata mtaani hapo.. kuonekana ni Mara ngapi kwa week.. maana sio kwa root hizo mkuuπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…