De Capri Don
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 481
- 947
Ukikua utaacha ,I used to be like thatWatu wanasema nipo serious sanaa... but nipo normal yan had wananiogopa,wengine wanasema kauzu sanaaa. Yan ata sielewii yn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikua utaacha ,I used to be like thatWatu wanasema nipo serious sanaa... but nipo normal yan had wananiogopa,wengine wanasema kauzu sanaaa. Yan ata sielewii yn
Huna majukumu Bado,Kuna tabia nyingine ambayo kwa % kubwa naelekea kuondokana nayo. Nilikuwa siwezi kumnyima mtu hela au kitu kama ninacho, kuna siku kuna kauli ilimtoka mtu niliona kama kanidharau sana na nikaona haja ya kuanza kubadilika. Tulipishana kidogo akaniomba hela nikamwambia sina, akaniambia najua utanipa tu hujuagi kumnyima mtu hizo ni hasira tu zikipoa utanipa, alisema ukweli ila niliona nna haja ya kubadilika.
Inawezekana ila nimepunguza hii tabiaHuna majukumu Bado,
Ukipata utaacha,I used to be like that.
Inawezekana ila nimepunguza hii tabiaHuna majukumu Bado,
Ukipata utaacha,I used to be like that.
Mazoea yalizidiKuna tabia nyingine ambayo kwa % kubwa naelekea kuondokana nayo. Nilikuwa siwezi kumnyima mtu hela au kitu kama ninacho, kuna siku kuna kauli ilimtoka mtu niliona kama kanidharau sana na nikaona haja ya kuanza kubadilika. Tulipishana kidogo akaniomba hela nikamwambia sina, akaniambia najua utanipa tu hujuagi kumnyima mtu hizo ni hasira tu zikipoa utanipa, alisema ukweli ila niliona nna haja ya kubadilika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuwabonda wanaoniletea pigo za kuniita Mwarabu au kafir.
Sana yalizidi mnoMazoea yalizidi
Nakuwepo sana ila nikiwepo ujui na nikitoka ujuiHata mtaani hapo.. kuonekana ni Mara ngapi kwa week.. maana sio kwa root hizo mkuu🤓🤓🤓🙌🙌🙌
Siijui. Wajuvi wapoDawa yake ni nini bibie??
Duuuh .Kula mchele mbichi...too much.
Hapana ukiwa mkavu kabisaDuuuh .
Unakuwa umeuloweka au
Yaani mpaka kwenye pochi nabeba, au nanunua kabisa hata nusu kilo na inaisha ndani ya dk 20 tu. Najitahidi kujizuia nashindwaHapana ukiwa mkavu kabisa
Uogopi..mbona ni risk hiyo😂😂🙌Hapana ukiwa mkavu kabisa
Umri wako tafadhaliKula mchele mbichi...too much.
Yaaani shida sio mchele..Yaani mpaka kwenye pochi nabeba, au nanunua kabisa hata nusu kilo na inaisha ndani ya dk 20 tu. Najitahidi kujizuia nashindwa
Inabidi kabla ya comment wawe wana mention umri kwanza sio mkuuUmri wako tafadhali