Mi nnalo moja huku nalibinya kuuubwa km gololi..!! 😹😹Mimi huku kwenye umiss mnitoe, labda mkiweka list ya maMrs. au wanawake wazee wanaopenda mibinuko 😎
View attachment 3570271
Tunasoma huku tunabinya binya vinyanya vyetu 🤣🤣🤣
View attachment 3570272
JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
Naendelea kufatilia list ya majina kwa umakini wa hali ya juu.na atashinda taji la u miss, halafu watu watajazana pm kwake wakijua ni pisi hivyo kila mmoja akibahatisha bahati yake yakujinyakulia miss jf... huko baadae itakuja kuwa kesi kubwa sana, wengine watalishikiria kama bango la umbea ama kukosa maadili, hapo ndipo kunaweza kusimama bango la upinde, litapigiwa kelele lakini atakuwepo mtu mmoja atakuwa kajikalia kwenye kona akilia kwa kwikwi baada yakutapeliwa na miss and mr jf...😅
Obsession is RealUnawezaje kukariri ID's zote hizo?!
watajeSix among them are Men.....🫢
akili yangu inanasa sana yaani nina IQ kubwaUnawezaje kukariri ID's zote hizo?!
na masai dada aiseeKuna huyu binti kiziwi
baby wangu namfichambona bby wako umemsahau? au unaogopa kuibiwa et shem darling😍
JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
Oyaaa🥹🥹🥹🥹🥹Hiyo list yote tuna makendre yeye Miss kamuona wapi? 😹😹😹
Wewe mbona hujiweki!Kuna huyu binti kiziwi
dipreshenituwekee na wakina miss chaga, atoto, charmin girl, mahondaw, niffer, apologize lady, preta husinyo.