Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

Lazima upambane na wadhalimu Kwanza Mana hata ukiwa na agenda bado utatekwa tu nahutakuwa na pakuongelea Kama kipindi Cha jpm ambapo ukichukua hata form tu wakati wa kumrudisha inabidi utumie mbinu nyingi vinginevyo utatekwa na kunyanganywa form Kama alivyofanyiwa ruge catherine
 
Moooo... Moooo... Mooooo...Bashite umeusikia huo mwangwii?
Haha! Kaka itanishangaza kama nawe utahadaika na miongozo ya hearsay!.. ni halali kusikilizia ila sitegemei uwe kipofu wa ufahamu ya kwamba dunia tuliyomo tunaongozwa na hadaa!.
Bila shaka karia ya hadaa unaifahamu vizuri,hicho ndicho nachokiona na wahadaiwa wameshahadaika unaenda kuwa muda wa vyombo vya habari kuuza na kununua..😀
 
Hahaa kweli wewe nyumbu. Mmepigwa chenga ya mwili mmejaa kila kukicha kumsakama magufuli the dead ambae hana madhara tena kwenu. Kama ccm sio mfumo mbona kila kiongizi akija analinda maslahi ya ccm na sio taifa? Unaakili kwenye masabuli ama?
Ili kuthibitisha uovu wa serikali ya CCM lazima uonyeshe uovu wa viongozi wake hata kama wanaliwa na funza kaburini! Ndiyo sababu nakuona unafikiri kama umekatwa kichwa na shingo yako imebeba debe tupu!
 
Kwa hiyo akishaongea inatusaidiaje sisi common wananchi?
 
wana mchango mkubwa sana kwenye umasikini wa WaTanzania na hujuma dhidi ya Tanzania kwa kigezo cha utanzania waliojivika huku kwa siri wakiwa na dual citizenship...
Leo nimefumbuka macho, kweli JF ni kisima cha waelevu! Ningeyajulia wapi haya mimi? Yaani wanatuchora? Daaaah
 
Moooo!
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…