Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Tulia matunguri YAFUKULIWEhizi ni stori za bavicha za vijiweni !![emoji28]., bavicha sijui lini oblangata zenu zitajazwa na akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia matunguri YAFUKULIWEhizi ni stori za bavicha za vijiweni !![emoji28]., bavicha sijui lini oblangata zenu zitajazwa na akili.
Lazima upambane na wadhalimu Kwanza Mana hata ukiwa na agenda bado utatekwa tu nahutakuwa na pakuongelea Kama kipindi Cha jpm ambapo ukichukua hata form tu wakati wa kumrudisha inabidi utumie mbinu nyingi vinginevyo utatekwa na kunyanganywa form Kama alivyofanyiwa ruge catherineYani bavicha wananishangaza sana. Jamani adui yenu ni ccm hawa viongozi ni muda tuu. Magufuli is gone but ccm is still kuwafirigisha. Kuweni na agenda inayoeleweka. Ccm wanawajaza upepo kidogo kwa gia ya kuwa na mpasuko mnajaa, mnasahau agenda ya katiba mpya.
Haha! Kaka itanishangaza kama nawe utahadaika na miongozo ya hearsay!.. ni halali kusikilizia ila sitegemei uwe kipofu wa ufahamu ya kwamba dunia tuliyomo tunaongozwa na hadaa!.Moooo... Moooo... Mooooo...Bashite umeusikia huo mwangwii?
Ili kuthibitisha uovu wa serikali ya CCM lazima uonyeshe uovu wa viongozi wake hata kama wanaliwa na funza kaburini! Ndiyo sababu nakuona unafikiri kama umekatwa kichwa na shingo yako imebeba debe tupu!Hahaa kweli wewe nyumbu. Mmepigwa chenga ya mwili mmejaa kila kukicha kumsakama magufuli the dead ambae hana madhara tena kwenu. Kama ccm sio mfumo mbona kila kiongizi akija analinda maslahi ya ccm na sio taifa? Unaakili kwenye masabuli ama?
[emoji28][emoji28]Eti tajiri mwenye mlio wa ng'ombe [emoji23][emoji23]
Leo nimefumbuka macho, kweli JF ni kisima cha waelevu! Ningeyajulia wapi haya mimi? Yaani wanatuchora? Daaaahwana mchango mkubwa sana kwenye umasikini wa WaTanzania na hujuma dhidi ya Tanzania kwa kigezo cha utanzania waliojivika huku kwa siri wakiwa na dual citizenship...
Hatulali na viatu, hii ngoma tunaimaliza asubuhi tu!Utasababisha watetetezi wa marehemu walale na viatu.
Moooo!Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu.
Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.
Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima wa yeye kutekwa, alipopelekwa, walivodai mambo mbalimbali na sababu ya kutekwa.
Kasema hatoacha kitu kwani alikusanya taarifa za kutosha juu ya sakata lake hilo.
Alianza Zitto, kafuata Mwingira sasa atafuata tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe hatoficha kitu na dunia lazima ijue hao watu walikua watu wa namna gani.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hiliTajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu.
Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.
Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima wa yeye kutekwa, alipopelekwa, walivodai mambo mbalimbali na sababu ya kutekwa.
Kasema hatoacha kitu kwani alikusanya taarifa za kutosha juu ya sakata lake hilo.
Alianza Zitto, kafuata Mwingira sasa atafuata tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe hatoficha kitu na dunia lazima ijue hao watu walikua watu wa namna gani.
Mwingira tu ameweka wazi mlivyotaka kumuua mmeishia kuharisha damu.Hatulali na viatu, hii ngoma tunaimaliza asubuhi tu!
Aaaah wapi, huyo ni mhuni aliyeshughulikiwa kihuni.Mwingira tu ameweka wazi mlivyotaka kumuua mmeishia kuharisha damu.
Roma mkatoliki nae ataachia lini singo yake ya kutekwa?Marehemu atageuka Kaburini wallah!