Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Deiwaka, tingo na tandi boi wanampiga suka

Suka anadaiwa hesabu ya mdosi, wese juu yake
 
Duu, acha unoko basi. Halafu usikute umezinguana nao ndio unawasungizia uongo
 
pia usikute tenk limetoboka wanatoa mafuta walizibe..unakuwa mnafki.
nyie ndo huwa mnafanyiwa ukatili wa kijinsia
Unaposema ukatiri wa kijinsia unamaanisha kifiro?
 
Reactions: EEX
Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?

Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Una uhakika anaiba?
 
Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?

Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Dawa yake kuwaripoti tu hawa
 
ukisikia uchawi ndio huu,wewe kupita tu umeshajua wanaiba?vipi kama wanafaulisha kutoka tenki la akiba kwenda main tank?
Hao km sio majizi, basi uniite mbwa,,,naenda kukaa palee.
 
Angalizo kwa mleta mada, wakati na aina nyingine ya Fuso Yana tank mbili ila tank Moja nikama storage. Mafuta yanapokwisha kwenye tank la mbele inambidi dereva kuhamisha Mafuta Toka tank A to Tank B kwa madumu. Isijekua kaona kitendo hicho kinafanyika akawaza Mafuta yanaibiwa!!
 
Nimepita hapo,nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.
Maadamu gari inafika sehemu husika, hio ni posho yao.

Hakuna tajiri asiyejua calculation ya mafuta
 
Mimi nadhani dereva wa fuso anaweka mafuta mwenyewe....kama dereva bodaboda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…