Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
vipi kuhusu uchaguzi wa 2020 mbona ulitulia tu kama hakijatokea kitu.Nimepita hapo,nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kuhusu uchaguzi wa 2020 mbona ulitulia tu kama hakijatokea kitu.Nimepita hapo,nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.
Sawa derevaAcha uchawa boya wewe ! Unachukuria poa maisha ya watu utapigwa risasi upasuke ubongo
Akili za masikini kumchukia tajiri akidhani ndio njia ya kufanikiwautavalishwa dera boy..
wee inakuwasha nini??
acha usnich..
maboss wanapunja watu pesa acha wapigwe tuu
Sure, mtu akiona anapunjwa aache kazi, simple as that na siyo ku-entertain wizi. Hii nchi kila mahali ni wizi na rushwa kwanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida-tuna safari ndefu sana kuelekea kwenye civilization.Akili za masikini kumchukia tajiri akidhani ndio njia ya kufanikiwa
kwako wewe kuiba ndio uanaume?Acha umbea na unaa wabongo mmegeuka wanawake
Unaposema ukatiri wa kijinsia unamaanisha kifiro?pia usikute tenk limetoboka wanatoa mafuta walizibe..unakuwa mnafki.
nyie ndo huwa mnafanyiwa ukatili wa kijinsia
Acha udereva fanya ishu NYINGINE..Kwan umelazimishwa?ACHEN WIZI...utavalishwa dera boy..
wee inakuwasha nini??
acha usnich..
maboss wanapunja watu pesa acha wapigwe tuu
Una uhakika anaiba?Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?
Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Ulinzi ni jukumu la kila raia.Acha umbea na unaa wabongo mmegeuka wanawake
Dawa yake kuwaripoti tu hawaHivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?
Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Hao km sio majizi, basi uniite mbwa,,,naenda kukaa palee.ukisikia uchawi ndio huu,wewe kupita tu umeshajua wanaiba?vipi kama wanafaulisha kutoka tenki la akiba kwenda main tank?
very good for reportingNimepita hapo,nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.
Maadamu gari inafika sehemu husika, hio ni posho yao.Nimepita hapo,nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.