Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Deiwaka, tingo na tandi boi wanampiga suka

Suka anadaiwa hesabu ya mdosi, wese juu yake
 
Duu, acha unoko basi. Halafu usikute umezinguana nao ndio unawasungizia uongo
 
Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?

Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Una uhakika anaiba?
 
Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?

Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Dawa yake kuwaripoti tu hawa
 
ukisikia uchawi ndio huu,wewe kupita tu umeshajua wanaiba?vipi kama wanafaulisha kutoka tenki la akiba kwenda main tank?
Hao km sio majizi, basi uniite mbwa,,,naenda kukaa palee.
 
Angalizo kwa mleta mada, wakati na aina nyingine ya Fuso Yana tank mbili ila tank Moja nikama storage. Mafuta yanapokwisha kwenye tank la mbele inambidi dereva kuhamisha Mafuta Toka tank A to Tank B kwa madumu. Isijekua kaona kitendo hicho kinafanyika akawaza Mafuta yanaibiwa!!
 
Mimi nadhani dereva wa fuso anaweka mafuta mwenyewe....kama dereva bodaboda!
 
Back
Top Bottom