Acha kufikiria kwa kutumia kimba bro!gari lako mwenyewe,umeingia shell kwa hela yako,then ukapige nyoka!!!Unajuaje kama anaiba,labda ni la kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kufikiria kwa kutumia kimba bro!gari lako mwenyewe,umeingia shell kwa hela yako,then ukapige nyoka!!!Unajuaje kama anaiba,labda ni la kwake
Mbona kama umeleta dharaukwa bimkubwa wakoAcha umbea na unaa wabongo mmegeuka wanawake
Una uhakika kuwa walikuwa wananyonya mafuta na si kuweka ?Nimepita hapo,nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.
atajieleza yeye kwa bosi wake ikiwa hakuwa anaiba. Hii kusuport maovu nakuona tatizo la mwenzio siyo lako ndo linazalisha panya road. Kwa sababu unaona mwenzie ana ajeruhiwa unasema wewe haya kuhusu, siku ukipigwa na kitu kizito unaanza kulia serikali itusaidie.Una uhakika anaiba?
Kuna madereva wanapewa hesabu kuwa kwa wiki niletee kiasi fulani kama daladala,mafuta juu yako,acha uzuzuAcha kufikiria kwa kutumia kimba bro!gari lako mwenyewe,umeingia shell kwa hela yako,then ukapige nyoka!!!
Huyo nae ni mwizi ukiona hivyoHivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?
Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Wezi wengi sana bro. Sasa huyo jamaa hapo Sijui kimemuuma nini?Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?
Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Kwa hiyo mnataka mgawane mapato nusu kwa nusu na ma boss wenu!?utavalishwa dera boy..
wee inakuwasha nini??
acha usnich..
maboss wanapunja watu pesa acha wapigwe tuu
pia usikute tenk limetoboka wanatoa mafuta walizibe..unakuwa mnafki.
nyie ndo huwa mnafanyiwa ukatili wa kijinsia
Mbona kinafanyika kichochoroni kwenye kagizaAngalizo kwa mleta mada, wakati na aina nyingine ya Fuso Yana tank mbili ila tank Moja nikama storage. Mafuta yanapokwisha kwenye tank la mbele inambidi dereva kuhamisha Mafuta Toka tank A to Tank B kwa madumu. Isijekua kaona kitendo hicho kinafanyika akawaza Mafuta yanaibiwa!!
Hao ni wezi.Acha umbea na unaa wabongo mmegeuka wanawake
Usipo ibaa unaonekana mjinga! Lakini wakulaumiwa ni hawa wanaojifanya wanasimamia Sheria, mwisho wa siku wao ndiyo wamekua wapiga deal wakubwa!!Sure, mtu akiona anapunjwa aache kazi, simple as that na siyo ku-entertain wizi. Hii nchi kila mahali ni wizi na rushwa kwanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida-tuna safari ndefu sana kuelekea kwenye civilization.
Sasa fikiria Mtu Kama huyo ndiyo umemkuta kwenye office zetu za Umma! lazima akupige kwa namna yoyote ile!!!kwako wewe kuiba ndo uanaume? Idiot
Tatizo bila wizi Bongo hutoboi ngoo!!Acha udereva fanya ishu NYINGINE..Kwan umelazimishwa?ACHEN WIZI...