Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Nimepita hapo,nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.
Una uhakika kuwa walikuwa wananyonya mafuta na si kuweka ?

Inawezekana gari lilikata mafuta wakawa wanajaza !

Kuna uwezekano pia walikuwa wanafaulisha mafuta kutoka tenki moja kwenda jingine
 
Hongera kwa mtoa mada usijali matusi ya watu ila ulichofanya ni sahihi tukiwa na jamii ina report matendo mabaya iwe wizi iwe mtoto wa jirani anafanya kitu kisichofaa kuambiana tutajenga taifa lenye nidhamu tusiwe tunashabikia mambo mabaya tutakuja kufuga panya road.

Kilichonisikitisha kuna watu wanabeza humu tena na likes nyingi hii linanipa wasiwasi huku ndio tumefikia. Haya yanatokea hata katika mitaa yetu tunaona uhalifi tunakaa kimya usije kuitwa mnoko, hapana tubadilikine mazuri tusifie mabaya tuyakemee.

Kigezo matajiri wana dhulumu ndio ufanye wizi hapana mwizi ataiba tu ni tabia hata umpe nini wako watu serikalini wanalipwa vizuri tu lakini wanaiba pesa za umma. Wizi ni tabia tukemee kila baya.
 
Acha kufikiria kwa kutumia kimba bro!gari lako mwenyewe,umeingia shell kwa hela yako,then ukapige nyoka!!!
Kuna madereva wanapewa hesabu kuwa kwa wiki niletee kiasi fulani kama daladala,mafuta juu yako,acha uzuzu
 
Hizi comments tu zinaonyesha nchi imekosa watu wenye maadili, hayo maendeleo tutayasikia tu kwa wenzetu.
 
Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?

Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Wezi wengi sana bro. Sasa huyo jamaa hapo Sijui kimemuuma nini?
 
utavalishwa dera boy..
wee inakuwasha nini??
acha usnich..
maboss wanapunja watu pesa acha wapigwe tuu
Kwa hiyo mnataka mgawane mapato nusu kwa nusu na ma boss wenu!?
 
pia usikute tenk limetoboka wanatoa mafuta walizibe..unakuwa mnafki.
nyie ndo huwa mnafanyiwa ukatili wa kijinsia

Mitanzania mingi mijizi tu ndo maana mnatetea wizi

Viongozi wakiiba mnapiga kelele za nini sasa
 
Watz wanasifia kuiba

Ndo maana wahindi wanawatesa

Kuiba si sifa

Ukiona mtu anaiba ripoti kwa mhusika

Unafurahia sababu si wewe unaibiwa, jiweke sehemu ya mwenye fuso
 
Hapo tajiri haibiwi,hesabu ishapigwa uzito wa mzigo+kilomita=kiasi cha mafuta,kwahiyo kinachobaki dereva atajua anafanyaje na kama itakula zaidi ya hapo tajiri hataelewa yeye anataka mzigo ufike
 
Angalizo kwa mleta mada, wakati na aina nyingine ya Fuso Yana tank mbili ila tank Moja nikama storage. Mafuta yanapokwisha kwenye tank la mbele inambidi dereva kuhamisha Mafuta Toka tank A to Tank B kwa madumu. Isijekua kaona kitendo hicho kinafanyika akawaza Mafuta yanaibiwa!!
Mbona kinafanyika kichochoroni kwenye kagiza
 
Akili zao zimekaa kimalaya malayaa Kama wale baadhi ya ma Wakili wao kazi yao kutetea wa Halifu kisa tu wanapata pesa kwa urahisi! Karma itawahukumu hawa Mawakili wa hovyoo sana na hawana tofauti na wapiga deal wa kitaa!!
 
Sure, mtu akiona anapunjwa aache kazi, simple as that na siyo ku-entertain wizi. Hii nchi kila mahali ni wizi na rushwa kwanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida-tuna safari ndefu sana kuelekea kwenye civilization.
Usipo ibaa unaonekana mjinga! Lakini wakulaumiwa ni hawa wanaojifanya wanasimamia Sheria, mwisho wa siku wao ndiyo wamekua wapiga deal wakubwa!!
 
Back
Top Bottom