Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

Kazi.sanaaa......itakuwa alikuwa ana nyatiaa mkw wa temba...
 
Duuh huyo majeruhi kama uliyoyaandika ni kweli basi anastahili pongezi aisee!!
 
Dah umenikumbusha mbali. Dar es Salaam Street, Pasua, Majengo kwa mtei, Soweto, Karanga, KCMC, Technical, VETA
 
Kama ni begani huyo alikua na ji ya kuua .
Hap alitaka kulena kichwa ndo ikalenga bega
 
Ila Majina ya akina Temba kwenye mambo ya kutomber tomber wanapenda sana..
 
Yeye hajaingilia mapenzi yeye ameingilia jaribio la kuua au kudhuru mwili wangekuwa wanafanya ngono akaingilia ndo tungesema ameingilia mapenzi
Wewe mtetezi wa Isdori hilo jaribio la kuua wakati linatokea huyo jamaa alikuwa wapi na kwanini!? Kwanini alifuatwa nyumbani na jamaa!?
 
Hata mimi nimejiuliza hivyo! Mzee unayakumbuka mabasi ya kambaita kwa ajili ya kuchukua wafanyakazi wake
 
Yupo mmoja hapa city centre igoma..yeye akishanunulia mrembo bia afu ukajichanganya hata kuongea na demu tu..lazima aichomoe..sijui ni vile anataka kupandisha confidenc due ana deficity ya mkono
 
amekupiga risasi ya bega, ukafanikiwa kumpokonya silaha, halafu ukaipeleka polisi. we mpumbavu nini? kwanini usimtwange risadi za kutosha, akafie mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…