Waswahili mnawachukia sana wachaga maana mmeona kwa macho yenu wakitajirika, chuki yenu ni ya ndani sana, it's too late washachukua hizo fursa.Kabila la hovyo sana
Acha roho ya umasikini hiyo dsm bila watu wa kuja ingekua kama lindi..kama huna hela pisha wwnye hela wafanye yao...wazaramo dsm sio kwao tena bado pwani ina mapori mengi wakaishi huko.IDD SIMBA akiwa waziri wakati wa mkapa alikuja na sera ya uzawa kwa wanadar es salaam wenyeji wa mji huu haza wazarao kuwa na mikakati ya kujenga magorofa k/koo kwa mikopo yetu wenyewe au kujengesha kwa mkataba ili kuwazuia wachagga lkn ndugu zangu hawakusikia na kumwita simba mbanguz
Wazaramo waliuza sanaaa unasikia upo kariakoo hapa kibosho,mawelaalikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo
Mmmmmh....kuna jina hapo limenishtua[emoji848]huyu tumekuja kuchunguza ni moja ya elite family huko moshi ameshindikana mpaka na serekali ndio mafounders wa akiba commercila bank nyumba zake zote sina mabranch ya hii bank shareholders wake asilimia tisini point tisa ni wachagga kinyume na sheria wakina anna mkapa,elizabeth minde,eng mark njiu,eng david mosha,ernest massawe,raymond mboya,eng joseph chuwa n.k n.k
Chuki tu za kindezimchagga ni hatari sana kuishi nae na bado hawaja shika dola je chadema ikishika dola huyo prima mushi atazurumu kariakoo yote
Mkiambiwa ukweli mnasema mnachukiwaWaswahili mnawachukia sana wachaga maana mmeona kwa macho yenu wakitajirika, chuki yenu ni ya ndani sana, it's too late washachukua hizo fursa.
Nyie ni pimbi na hamna akili..ndio mana mmeachia nyumba na ardhi kwenda kwa wenye akili.hans macha kama sio nyumba za wazaramo asingetajirika leo tunaambiwa hatuna akili leo amekuwa shareholder mkubwa crdb kwasababu ya wazaramo lkn tumepata matusi leo sis ni pimbi
mchagga gani mwenye nyuma 60 k/koooUnashangaa huyo ana 10? Wapo wenye mpaka nyumba 60 hapo kkoo. Ndo maana nikisikiaga mnasema wakinga wameichukua kkoo nachekaga sana. Kitu nimejifunza kwenye haya maisha ni kuwa low key tu aisee ukiwa nacho
mkuu lampard eletronics ni mtoto wa 90Kwa nchi hii ukitoa wageni bado hakuna kabila linalowasogelea hao watu.
Hao wakinga wanaosakiziwa kimsingi bado Sana.
Hao jamaa kizazi Chao cha 80 Kurudi nyuma walikuwa makini Sana kwenye ishu ya kutafuta pesa.
Ila hawa wa 90 kuja mbele naona Kama wamezubaa kidogo
wachagga kam hugo kisima amenunu nyumba mwaka 67 barabara ya uhuru hajawi kumtapeli mtumchagga gani mwenye nyuma 60 k/kooo,mwenye nyumba nyingi ni kimbori wa rising nasijui kama zinafika idadi hiyo
temba co tapeli hawa wachache wanaharibu image ya wachaggawachagga kam hugo kisima amenunu nyumba mwaka 67 barabara ya uhuru hajawi kumtapeli mtu
emma wa gerezani brt co tapeli
Matako yako. Umetawaliwa na chuki. Kuringe aheshimiwe sanaalikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
chawaMatako yako. Umetawaliwa na chuki. Kuringe aheshimiwe sana
Safi umegonga msumari wa moyoYaani wakopaji hawanaga ushahidi zaidi ya kutaka kuonewa huruma.
Wakati wao wanavyokopa hawarudishi hawamuonei huruma aliyewakopesha.
Kuna mmoja mie nimesimama nae mahakamani anadai nimemuambia eti nitamnyoosha, nitamkomoa.
Anasema amenilipa na hana ushahidi wowote.
Nimetoa bank statements na tigostatements za mwaka mzima hakuna miamala yake.
Anabaki kuomba huruma ya hakimu.
Ndo anachokifanya mleta mada.
Anataka aonewe huruma wakati wao hawajamuonea huruma aliyewakopesha na hawajamrudishia hela zake.
Mkopaji anapokuja anadhihirisha ana uwezo wa kulipa na dhamana anaweka.
Lakini akishapewa mkopo tu uwezo wa kulipa hana.
Na wanaanza ushwahili wao oooo hela za majini, hela za uchawi.
Kuna wakopeshaji wengine wachawi huwa wanaloga mkopaji ili asiweze kulipa wachukue mali zakeWengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
jina gani mkuuMmmmmh....kuna jina hapo limenishtua[emoji848]