Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

IDD SIMBA akiwa waziri wakati wa mkapa alikuja na sera ya uzawa kwa wanadar es salaam wenyeji wa mji huu haza wazarao kuwa na mikakati ya kujenga magorofa k/koo kwa mikopo yetu wenyewe au kujengesha kwa mkataba ili kuwazuia wachagga lkn ndugu zangu hawakusikia na kumwita simba mbanguz
Acha roho ya umasikini hiyo dsm bila watu wa kuja ingekua kama lindi..kama huna hela pisha wwnye hela wafanye yao...wazaramo dsm sio kwao tena bado pwani ina mapori mengi wakaishi huko.

#MaendeleoHayanaChama
 
alikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo
Wazaramo waliuza sanaaa unasikia upo kariakoo hapa kibosho,mawela
 
huyu tumekuja kuchunguza ni moja ya elite family huko moshi ameshindikana mpaka na serekali ndio mafounders wa akiba commercila bank nyumba zake zote sina mabranch ya hii bank shareholders wake asilimia tisini point tisa ni wachagga kinyume na sheria wakina anna mkapa,elizabeth minde,eng mark njiu,eng david mosha,ernest massawe,raymond mboya,eng joseph chuwa n.k n.k
Mmmmmh....kuna jina hapo limenishtua[emoji848]
 
hans macha kama sio nyumba za wazaramo asingetajirika leo tunaambiwa hatuna akili leo amekuwa shareholder mkubwa crdb kwasababu ya wazaramo lkn tumepata matusi leo sis ni pimbi
Nyie ni pimbi na hamna akili..ndio mana mmeachia nyumba na ardhi kwenda kwa wenye akili.

Wakati watu wanawekeza kwenye elimu nyie mnawekeza kwenye viuno..kuweni wapole huu ndio ukweli mchungu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unashangaa huyo ana 10? Wapo wenye mpaka nyumba 60 hapo kkoo. Ndo maana nikisikiaga mnasema wakinga wameichukua kkoo nachekaga sana. Kitu nimejifunza kwenye haya maisha ni kuwa low key tu aisee ukiwa nacho
mchagga gani mwenye nyuma 60 k/kooo
 
Kwa nchi hii ukitoa wageni bado hakuna kabila linalowasogelea hao watu.
Hao wakinga wanaosakiziwa kimsingi bado Sana.

Hao jamaa kizazi Chao cha 80 Kurudi nyuma walikuwa makini Sana kwenye ishu ya kutafuta pesa.
Ila hawa wa 90 kuja mbele naona Kama wamezubaa kidogo
mkuu lampard eletronics ni mtoto wa 90
bravo eletronics ni wa 80 mwishon mkuu hawa wapo kwenye vyama hivyo wanakopeshana mitaji na kuonyeshana viwanda huko china
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Matako yako. Umetawaliwa na chuki. Kuringe aheshimiwe sana
 
Yaani wakopaji hawanaga ushahidi zaidi ya kutaka kuonewa huruma.
Wakati wao wanavyokopa hawarudishi hawamuonei huruma aliyewakopesha.
Kuna mmoja mie nimesimama nae mahakamani anadai nimemuambia eti nitamnyoosha, nitamkomoa.
Anasema amenilipa na hana ushahidi wowote.
Nimetoa bank statements na tigostatements za mwaka mzima hakuna miamala yake.
Anabaki kuomba huruma ya hakimu.
Ndo anachokifanya mleta mada.
Anataka aonewe huruma wakati wao hawajamuonea huruma aliyewakopesha na hawajamrudishia hela zake.
Mkopaji anapokuja anadhihirisha ana uwezo wa kulipa na dhamana anaweka.
Lakini akishapewa mkopo tu uwezo wa kulipa hana.
Na wanaanza ushwahili wao oooo hela za majini, hela za uchawi.
Safi umegonga msumari wa moyo
 
Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Kuna wakopeshaji wengine wachawi huwa wanaloga mkopaji ili asiweze kulipa wachukue mali zake
 
Back
Top Bottom