Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Daaah jamaa kageuza story kabisa ili mtu au kabila lionekane baya.
Nipo hapa NEW VUNJO BAR AND RESTAURANT.Na wadau wakati nasoma hii story ndio wakasema yooote.
Wao walikopa pesa 1B kisha wakagawana ukoo mzima.wenye kuoa wenye kulewa wenye kununua magari na kila aina ya starehe walifanya.
Ss wakati wakurejesha umefika wanachafua taswila nzima ya mtu/kabila.
LIPENI DENI NA RIBA ZAKE.

 
kariakoo frem tu mtu anakuendea kwa mganga ukiena kuiona unawaka unailipia fasta halafu kinacho fata majuto ni mjukuu na kuna madalali wengine washakua madoni kwa hizo mishe kariakoo ni zaidi ya uijuavyo ni kituo cha kuzimu
 
gorofa la hugo kisima liko barabara ya uhuru floor ya chini kuna equity bank mkuu
emma aliambiwa asiweke pombe kwa sababu ile ni nyumba ya sheah mkuu
huyo mbokumu naye alikuwa ni mwizi zaman mkuu akaiba sana chuma za wahindi mpka katajirika
 
gorofa la hugo kisima liko barabara ya uhuru floor ya chini kuna equity bank mkuu
emma aliambiwa asiweke pombe kwa sababu ile ni nyumba ya sheah mkuu
huyo mbokumu naye alikuwa ni mwizi zaman mkuu akaiba sana chuma za wahindi mpka katajirika
hilo gorofa la mbokomu lenye hardware kabla aliweka mbokomu nyumba ya sheah mkubwa hapa nchin wewe unaona saw
 
tumejichangajaa lkn mkuu wa vitina sana kwa sababu ya vikao vyao vya jumapili mkuu huwezi kutoka
mnyeti akiwa mkuu wa mkoa wa manyara alipiga vyama vya ukabila marufuku na huku dar vipigwe bann na serekali

Kwa hiyo hutaki ndugu wakikaa pamoja😂😂
 
Mimi sijaalaaniwa mpaka nigeuze wizi na dhulma kuwa Kitega uchumi.

Halafu maisha yangu yananitosha , sihitaji kudhulumu MTU yeyote.

Akili na ujanja sio dhulma.

Hata Yakobo alimfanyia ujanja Esau Kaka yake akachukua haki ya uzaliwa wakwanza kisa njaa ya Kaka yake.

Ili uwe Tajiri itakupasa uweze kuwapiga katafunua Wajinga na wenye njaa bila uvumilivu.

Mataifa Makubwa yote yanafanya kama alivyofanyiwa mtoa mada
 
Huna akili
 
ATAKUWA NYUMA YA MAKONDA
 
Ebu tufafanulie vyema hii aina mpya ya utafutaji ya tumalizane ikoje??wengine hatujatoka mombasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
magufuli mkuu alimweka lupango wkt wa jiwe alikuwa mpole kama nn
jiwe alikuwa huko sahihi alivyodeal nao
Yuko wapi sasa huyo Magu wako, kiongozi unadeal na kabila we utakua huna ajili sawa sawa.
Tupendane hii nchi ni sio ya kabila lako Wala wachaga hii ni Tanzania.
Usiwe na chuki
tumejichangajaa lkn mkuu wa vitina sana kwa sababu ya vikao vyao vya jumapili mkuu huwezi kutoka
mnyeti akiwa mkuu wa mkoa wa manyara alipiga vyama vya ukabila marufuku na huku dar vipigwe bann na serekali
Mkuu unaanza kuwa commediani
 
Hapa tunajadili Facts

Kati ya chifu mangungo na Carl Peter Nani Hana akili?

Mtu umesoma mpaka walau Kidato cha nne bado uwe mjinga uingie mikataba isiyoeleweka
Huwezi kuweka PESA juu ya chochote ukiwemo ubinadamu halafu ukawa na akili. Soon utainamishwa migombani ili upewe pesa
 
Acheni imani potofu. Siku zote saa yoyote fedha za kukopa zina uwezekano mkubwa wa kuisha kwa sababu mara nyingi wakopaji wanakuwa hawana malengo maalum au kama wana malengo, ni yakwenye daftari na siyo uhasilia.
 
Mimi sijaalaaniwa mpaka nigeuze wizi na dhulma kuwa Kitega uchumi.

Halafu maisha yangu yananitosha , sihitaji kudhulumu MTU yeyote.
Unatamba hapa hujalaaniwa ukipata ugonjwa serious unaohitaji hela unaishia kwenda kwa wachungaji na waganga kuombewa na kugangwa!!!

Mwisho wanakudanganya umepata magonjwa ya laana kumbe in reality ilibidi uka-check vipimo vikubwa navyo bila hela hufanyiwi unaishia kufa ukiamini ulilaaniwa kumbe wewe laana huna ni umaskini wako uliotokana na uvivu na kujifanya huna haja ya kuwa na mali nyingi..
 
Unakopa kwenda kumcheza mwali fedha utarudishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…