Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Siku ukikopa halafu ukaweka bondi nyumba, halafu ukapata pesa ya deni lakini kila ukitafuta mhusika umlipe deni lake humuoni ndio utajua maana ya huu uchoko wa dawa ya deni in kulipa wakati huo umeshapoteza nyumba.
Na siku ukipoteza nyumba kwa kukopa vichochoroni namna hii ndiyo utajua kuna sehemu rasmi za kukopa kama benki.
 
Acheni imani potofu. Siku zote saa yoyote fedha za kukopa zina uwezekano mkubwa wa kuisha kwa sababu mara nyingi wakopaji wanakuwa hawana malengo maalum au kama wana malengo, ni yakwenye daftari na siyo uhasilia.
Baki na ujinga wako sikulazimish.
 
Mjinga anajigeuza kuwa mjanja na mjanja anageuzwa kuwa mjinga. Haya twende kazi!
Najua kuliko wewe .. jiulize mbona mwakinyo walizuie begi lake uingereza yaani wanaamini ushirikina we kijana wa kweny vumbi huaminiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..kajifunze muulize mkubwa kwenu hili swali we hujui kitu.
 
TUMALIZANE = ? Mkuu unatuacha kwenye mataa
 
Ni bora achukue maghorofa yote tu. Mmeachiwa urithi mnashindwa kutumia majengo kuzalisha pesa, mnakuja kulialia hapa JF?
Tena naona hiyo bilioni moja amewapa nyingi sana. Alipaswa kuwapa milioni 500 na December akija Moshi atatueleza inakuwaje anakopesha kiasi kikubwa cha pesa kwa faida ndogo.
Pia nyie mnapaswa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi kwa kujipatia bilioni 1 bila kuilipia kodi hata senti moja.
 
aisee mwenye mawasiliano na hao jamaa wanakopesha kuna jamaa anataa kuwasiliana nao aone uwezekano wa kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…