Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Dawa gani bhana, hata hayo Mabenki yanawadai Watu kibao nao wamewapa dawa?.
 
Waziri kawaita "wazawa wa Kariakoo" huyo Bw ndio wale wale wa kupalilia tu ukabila/udini...Wazawa ndio nini?.

Kama Wamiliki walikuwa wanaweza kubaki na miliki zao nani angewarubuni?....maendeleo yakija kama hamkujiandaa mtasogezwa tu.

Huyo Waziri angetaka kuwasaidia angewakopesha pesa z kutatua matatizo yenu badala ya storti tupu ili hali njaa haijui stori.
 
Dawa gani bhana, hata hayo Mabenki yanawadai Watu kibao nao wamewapa dawa?.
Jidanganye tu, kuna mtu anakukopesha 1000 na huwezi rudisha. Ukikua utaelewa namaanisha nini ila kwa kuwa sasa unakula na kushiba bure huelewi.
 
Jamaa mwenyewe anashangaa haya madai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Soon anaangusha ghorofa jingine Mafia na jangwani

Endeleen kupiga mdomo msifanye kazi [emoji28][emoji28]
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo
 
sisi tukifanya vikao wakabila ila wao wanakutana kila jumapili kupanga kuchukua aridhi za watu co wakabila akhasnte mkuu
 
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo

Kadhulumu ujenge na wewe Kama ni rahisi

Wabongo ukipiga hatua utaundiwa zengwe mpaka ushangae
 
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo

Si mlisema kariakoo imetekwa na wakinga?

Sasa hivi mmewageukia wachaga?

Pigeni maneno humu watu wanapiga kazi
 
Huyuu mzee kama namfahamu alikuwa muislamu?
 
Bab angu aliwai kopa mahali kwa mam wa kichag na akaweka Bondi aridhi hati ya kiwanja ilikuwa around mwaka 2000 HV mkp kile kiwanja kimeshinikna kurudi siyo bure Kuna madawa wanawwka Hawa ndug zangu wachaga ili amuachie Mali

Inaniuma San kiwanja kipo sehemu nzuri snaaa ktk nnchi hi hapa tz dhamani yake kwa sasa HV Ni milio 80 q

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…