LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
- Thread starter
- #81
mahakama imeshaweka stop ordre lkn hashi maamuz ya mahakamaAchen ujinga nyie nyumba imepigwa mnada na benk watu wamenunua kama mtu mwingine yeyote sasakosa lake liko wapi. Si uende mahakaman shida iko wapi. Na kwanini bingwa hajitokez kama mwenye nyumba anamtuma mpangaji kulalamika as if ni mmiliki.