Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

That's how capitalism work ndugu zangu acheni kuishi kijma , we una asset ya bilioni unaiwekea dhamana ya mkopo umiza kweli, achani mpoteze ili wajinga wenzenu wajifunze .
Na unajua kabisa mkuenda mahakama mtashindwa ndo maana unatafuta huruma huku.
Ukishauza haki yako hata kwa bei kichaa usidhani utairudisha Tena kwa bei Ile Ile, utailipia thamani halisi ulitaka kuirudisha.
Mpeni hilyo bulion 14 mrudishiwe jengo lenu
 
Poleni Sana.

Mmeshamaliza shida zenu sasa mnataka nimpe shida aliyewasaidia mkopo.😀😀

Bakini kwenye Mkataba wenu.

Kama anakiuka mkataba Basi ni Tapeli kama hakiuki basi Acha achue hata magorofa yote nchi nzima Kwa watu wajinga
Nakusoma sana ujinga ni mbaya sana , lakn wajinga siku zote hujiona Wana haki flani
 
Shida mkuu, biashara zimeyumba. Halafu Sasa hiyo michawi unachujia kwao hela ndogo unaweka dhamana kubwa ukiwa na uhakika utailipa, lakini hailipiki kabisa, Yani michawi balaaa. HIYO INAITWAGA MIKOPO UMIZA[emoji33][emoji33][emoji29]
Hakuna cha uchawi hapo watu wakishapata Hela ajili zinawaruka na wanakua hawana plan yoyote, mbona hata watu wanakopa bank na yanwatoa hayohayo
 
That's how capitalism work ndugu zangu acheni kuishi kijma , we una asset ya bilioni unaiwekea dhamana ya mkopo umiza kweli, achani mpoteze ili wajinga wenzenu wajifunze .
Na unajua kabisa mkuenda mahakama mtashindwa ndo maana unatafuta huruma huku.
Ukishauza haki yako hata kwa bei kichaa usidhani utairudisha Tena kwa bei Ile Ile, utailipia thamani halisi ulitaka kuirudisha.
Mpeni hilyo bulion 14 mrudishiwe jengo lenu
huyu tumekuja kuchunguza ni moja ya elite family huko moshi ameshindikana mpaka na serekali ndio mafounders wa akiba commercila bank nyumba zake zote sina mabranch ya hii bank shareholders wake asilimia tisini point tisa ni wachagga kinyume na sheria wakina anna mkapa,elizabeth minde,eng mark njiu,eng david mosha,ernest massawe,raymond mboya,eng joseph chuwa n.k n.k
 
Hahah achukue vyake!!!

Hii alikuwaga nayo Masawe Alex nae,uliposikia Msofe amekaa ndani alijichanganya akanunua nyumba iliyokuwa bond kwa mgongo wa Masawe yaani mmiliki halali alikopa hela akapitisha siku moja akiwa safarini south kurudi akakuta nyumba imeuzwa akatakiwa ahamishe kila kilichokuwa chake.
hata hii nyumba mushi anajifanya kamuuzia makoi mwenye valentino hotel aggrey na likoma
 
kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Hayo makubaliano mkuu mliyaingia kwa style gani!kwamba akakubali kuwakopesha billion moja cash halafu ajilipe kupitia frame zenu za maduka?hizi hesabu zenu mlizipiga mkiwa nae au maana sidhani kama mtu timamu anaweza kufanya biashara hiyo.

Hiyo hela yake ingerudi mwaka gani?kama mliambiana kwa mdomo tu mkachukua mpunga huyo mnaweza mkam-punch mahakamani vinginevyo kama kuna kosa ktk maandishi imekula kwenu.
 
Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo

Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...

Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...

Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...

LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...

Unawajua G7? Je unawajua KuDa?

Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...

Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...

Bro hiyo ni premier league....

Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....

Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
 
huyu tumekuja kuchunguza ni moja ya elite family huko moshi ameshindikana mpaka na serekali ndio mafounders wa akiba commercila bank nyumba zake zote sina mabranch ya hii bank shareholders wake asilimia tisini point tisa ni wachagga kinyume na sheria wakina anna mkapa,elizabeth minde,eng mark njiu,eng david mosha,ernest massawe,raymond mboya,eng joseph chuwa n.k n.k
Sasa hadi Ray kweli yupo Akiba? Acha kudanganya watu bana...
 
hans macha kama sio nyumba za wazaramo asingetajirika leo tunaambiwa hatuna akili leo amekuwa shareholder mkubwa crdb kwasababu ya wazaramo lkn tumepata matusi leo sis ni pimbi
Hamia kitunda rafki yangu..nyie mlikua mnapanga mstari kwa hans pale Riki hill mpaka mstari unafika kule nje na benki mnaziona..hans anachukua hati...anakupa hela hapo hapo then hamrudishi hela ulidhani kaja dar kutoka kwao old moshi kukatika na ngoma zenu...? Sema alikua na huruma mkawa mnapewa hela mnaamia kituna,banana na mwanagati
 
Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo

Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...

Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...

Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...

LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...

Unawajua G7? Je unawajua KuDa?

Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...

Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...

Bro hiyo ni premier league....

Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....

Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
massawe tumbo namjua vizuri mkuu ndio mwenye valentino na ndio primi anasema amemuuzia nyumba yetu
 
Back
Top Bottom