Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo

Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...

Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...

Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...

LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...

Unawajua G7? Je unawajua KuDa?

Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...

Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...

Bro hiyo ni premier league....

Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....

Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Leo ndo nimegundua Kwa nini wachaga wakizeeka wanafirisika au wakifa Mali zao ni migogoro mitupu...

Kumbe wanadhulumu watu...

Kwa nini wasiijenge hiyo Moshi yao
 
huyu tumekuja kuchunguza ni moja ya elite family huko moshi ameshindikana mpaka na serekali ndio mafounders wa akiba commercila bank nyumba zake zote sina mabranch ya hii bank shareholders wake asilimia tisini point tisa ni wachagga kinyume na sheria wakina anna mkapa,elizabeth minde,eng mark njiu,eng david mosha,ernest massawe,raymond mboya,eng joseph chuwa n.k n.k
Kiruuuu
 
hii ishu ya huyu jamaa kutapeli watu magorofa niliiiona hapo nyamwezi tena zilikuja fifenda 3 kumsaidia jamaa kuzuia fujo hapo zilipaki siku nzima jiulize , naskia huwa anakopesha watu ukishindwa kulipa anakuja kubeba mali zako kibabe
Taasisi zipo,
Kwanini hao wakopaji wasiende kwenye taasisi, usikute vigezo walikua hawana

Tatizo wabongo tunapenda sana shortcut,
Afu wazito Sana kulipa madeni, ukidaiwa unamgeuza mdaiji Kama tapeli.

Wakat ulikubali kwa akili zako timamu
 
sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
Mhhhhh
 
rudini moshi kwani humwezi kujenga huko moshi hadi hapa dar

Unataka kusema nchi igawanywe?😂😂

Unafikiri nchi ikigawanywa hao unaowaambia warudi Moshi watashindwa kufanya maendeleo kisa chuki za kijinga.

Hapo umezidiwa Hesabu, siku nyingine Kama hutaki mambo ya hivi kakope Benki ili Benji wakupinga mnada Mali yako usiwe na kinyongo
 
Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo

Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...

Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...

Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...

LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...

Unawajua G7? Je unawajua KuDa?

Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...

Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...

Bro hiyo ni premier league....

Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....

Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
mkuu hao g7 ni chama cha kufa na kuzikana ambacho ada ni millioni hamsini kwa mwaka ndio wenye mwenge social hall na manyumba bagamoyo na hospital moro ni wakibosho wa k/koo
 
Hao wachaga ni washenzi na matapeli sana walishamtapeli mzee wa kizaramo nyumba hapo mtaa wa aggrey, mzee alisainishwa mkataba mwaka 2005 kuwa mchaga ataichukia nyumba kujenga fremu za maduka na mzee atakuwa akilopwa shilingi milioni moja kila mwaka! Kwa muda wa miaka 10, ila mzee.alipokuwa na shida alikuwa akimfata mchaga anampa pesa huku anamuandika kwenye daftari lake ,mwisho mzee anakuja kuambiwa kuwa kashapewa milioni 56. Mchaga akarudi na mkataba mwingine kumwambia mzee kuwa anataka kuibomoa nyumba ajenge ghorofa ila atampa floor mbili na maduka mawili chini ila cha ajabu baada ya kumaliza ujenzi hakuna chochote ambacho mzee aliambulia, sasa hivi mzee kashafariki na mchaga amejimilikisha jumla cuz mzee alimkabidhi hati ya ntumba kama dhamana kila alipokuwa na shida ya pesa. Wanawe wamejaribu kufuatilia lakini wapi wanaishia kuzungushwa tu. Mzee mwenyewe alisainishwa mkataba wa kutia sahihi ya dole gumba maana alikuwa hajui kuandika
 
hao KUDA kingilio cha kujiunga na sikia ni million 20 kwahiyo mjumbe unaunga mkono utapeli hivi vyama ndio wanatumia kutapelia na konnetion mahakaman ,tra na serekalini kilia jumapili wana vikao kwenye mabaa yao kimara na mbezi beach
 
Back
Top Bottom