DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kwann sasa familia msijichange mlipe deni lakekulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann sasa familia msijichange mlipe deni lakekulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Ndio mumbembeleze primi sasa Tumbo imekula kwenumassawe tumbo namjua vizuri mkuu ndio mwenye valentino na ndio primi anasema amemuuzia nyumba yetu
Leo ndo nimegundua Kwa nini wachaga wakizeeka wanafirisika au wakifa Mali zao ni migogoro mitupu...Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo
Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...
Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...
Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...
LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...
Unawajua G7? Je unawajua KuDa?
Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...
Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...
Bro hiyo ni premier league....
Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....
Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Una ushahidi gan anahonga Sana,mahakama imeweka stop order lkn haeshim maamuz ya mahakam mkuu wa mkoa pamoja na wair wote hawana msaada jamaa anaonga sana
wewe utakuwa mkibosho na kwenye hii gang upo unaonekana unawafaham vizurNdio mumbembeleze primi sasa Tumbo imekula kwenu
Kiruuuuhuyu tumekuja kuchunguza ni moja ya elite family huko moshi ameshindikana mpaka na serekali ndio mafounders wa akiba commercila bank nyumba zake zote sina mabranch ya hii bank shareholders wake asilimia tisini point tisa ni wachagga kinyume na sheria wakina anna mkapa,elizabeth minde,eng mark njiu,eng david mosha,ernest massawe,raymond mboya,eng joseph chuwa n.k n.k
Taasisi zipo,hii ishu ya huyu jamaa kutapeli watu magorofa niliiiona hapo nyamwezi tena zilikuja fifenda 3 kumsaidia jamaa kuzuia fujo hapo zilipaki siku nzima jiulize , naskia huwa anakopesha watu ukishindwa kulipa anakuja kubeba mali zako kibabe
sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisaKiruuuu
Mhhhhhsheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
rudini moshi kwani humwezi kujenga huko moshi hadi hapa dar
mkuu hao g7 ni chama cha kufa na kuzikana ambacho ada ni millioni hamsini kwa mwaka ndio wenye mwenge social hall na manyumba bagamoyo na hospital moro ni wakibosho wa k/kooPole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo
Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...
Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...
Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...
LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...
Unawajua G7? Je unawajua KuDa?
Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...
Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...
Bro hiyo ni premier league....
Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....
Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
hao KUDA kingilio cha kujiunga na sikia ni million 20 kwahiyo mjumbe unaunga mkono utapelimkuu hao g7 ni chama cha kufa na kuzikana ambacho ada ni millioni hamsini kwa mwaka ndio wenye mwenge social hall na manyumba bagamoyo na hospital moro ni wakibosho wa k/koo
Ngoja nikushtaki kwa kaka yangu MaghayoWapi nimeingiza udini hapo? Wewe ni mchagga sio?
hao KUDA kingilio cha kujiunga na sikia ni million 20 kwahiyo mjumbe unaunga mkono utapeli hivi vyama ndio wanatumia kutapelia na konnetion mahakaman ,tra na serekalini kilia jumapili wana vikao kwenye mabaa yao kimara na mbezi beach
Ngoja nikushtaki kwa kaka yangu Maghayo
Duuh Bilion moja mkuu hata akisema achanganye na familia yetu hailipiki hiyo Mkuu...Billioni kama B sio milioni tutauza hizi IST zote hadi masofa na haifiki hata nusu ndio anachukua riba yake kwanza..Kwann sasa familia msijichange mlipe deni lake