Takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye kutafuta hata shughuli, yaani yupo tu

Takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye kutafuta hata shughuli, yaani yupo tu

Anza kuchakata mbususu mchana na jion tena chakatia sebuleni, na hakikisha unatoa makelele mengi na kwasauti wakati wa uchakataji... Utarudi na mrejesho ndani ya siku mbili
Ushauri wa humu daaah [emoji23][emoji23]
 
.......huenda kapigka, lkn n vyema ukamuliza kujua nn kimemsbu.

Kumsalimia mtu week 2 🤨, tena na familia nzma🤨!
 
Sasa kama unaona kero kwanini kipindi unaenda kuoa kwao usinge waambia kabisa hutaki wageni?
 
Ni takribani wiki 2 zilizopitata nilipata ugeni wa kaka yake mke wangu na tulimpokea vizuri tu.

Alifika mida ya saa 2 bila taarifa na niwe muwazi kwamba hata mgao wa chakula ulivurugika.

Usiku ule ule tukiwa chumbani nilikuwa namhoji wife kwanini ndugu yake kaja bila taarifa ila nikapotezea nikijua labda atakaa siku 2 au 3.

Kuna vyumba vya wageni vimejitenga na nyumba kuu ndiko tulipompa hifadhi, na choo / bafu ni humo humo.

Sasa ni takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye akitafuta hata shughuli, yani yupo tu.

Wife akimuuliza hali, yeye anasema kaja kutusalimia na binafsi sina tatizo na hilo bali huyu ni mtu mzima ambaye pengine ilibidi awe anafanya shughuli za kumuingizia kipato.
Shida nini kaka vumilia tu alafu anza kumtafutia kazi au mtoe mkapate moja baridi moja moto akueleze changamoto zakee uone kama atakataa kufanya kazi
 
Nikiwa kama kivhwa cha familia, nyumbani kwangu ni sheria zangu, na linapokuja swala la sheria kwa wageni huwa zimekazwa mno kwa wageni wa kiume ambao ni miaka 28+ maaana hawa tayari ni wanauume na asili yetu ni kupambana ili kujitegemea......changamoto za kimaisha na harakati za kiupambanaji wakati mwingine zinapelekea kujikwaa lakini ni mwiko kukata tamaa kusimama kwenye asili yetu huku mipango na malengo vinabakia vichwani mwetu.

Ni takribani wiki 2 zilizopitata nilipata ugeni wa kaka yake mke wangu mwenye miaka 33

Alifika mida ya saa 2 bila taarifa na niwe muwazi kwamba hata mgao wa chakula ulivurugika, namjali sana house girl wangu namchukilia kama mwanafamilia na wife alikuwa kapata ugeni, hivyo ilibidi niende kula mgahawani.

Usiku ule ule tukiwa chumbani nilikuwa namhoji wife kwanini ndugu yake kaja bila taarifa ila nikapotezea nikijua labda atakaa siku 2 au 3.

Kuna vyumba vya wageni vimejitenga na nyumba kuu ndiko tulipompa hifadhi, na choo / bafu ni humo humo.

Sasa ni takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye akitafuta hata shughuli, yani yupo tu.

Wife akimuuliza hali, yeye anasema kaja kutusalimia huwa nabaki kukuna kichwa tu

Asili ya sisi wanauume ni kujitegemea......changamoto za kimaisha na harakati za kiupambanaji wakati mwingine zinapelekea kujikwaa lakini ni mwiko kukata tamaa kusimama kwenye asili yetu huku mipango na malengo vinabakia vichwani mwetu

sasa navyomoona mwanaume mwenzangu yupo comfortable na hali ya kuwa tegemezi na hana tatizo lolote la kumfanya asishughulike, binafsi najisikia vibaya.
Acha ushamba wewe kodi shamba uanze kulima huyo ndiyo umepewa msimamizi

We mfanye alete faida nyumbani

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani mleta uzi ni mtu wa kaskazini. Mama Ni mnyamwezi au msukuma. Wanyamwezi wanakatabia ka kutembelea ndugu mjini bila plan yoyote.
Tabia ya kutembelewa na shemeji asiye na plan wachaga hatuipendi kabisa.
 
Mwanaume huwezi kuja jamii forum na kuanzisha uzi wa kijinga kama huu, bila shaka wewe utakuwa umepata mafanikio kidogo bila kupata msoto, watu kama nyie humuona kila mtu ambae hajafanikiwa ni mvivu.
 
Mvumilie mkuu huenda anapitia wakati mgumu sana. Ukizingatia machinga wamevunjiwa maeneo yao ya biashara.

Kabla ya hapo aliweza kujitegemea mwenyewe? Kama ndio basi kuna jambo limemsibu.
 
Nikiwa kama kichwa cha familia, nyumbani kwangu ni sheria zangu, na linapokuja swala la sheria kwa wageni huwa zimekazwa mno kwa wageni wa kiume ambao ni miaka 28+ maaana hawa tayari ni wanauume na asili yetu ni kupambana ili kujitegemea......changamoto za kimaisha na harakati za kiupambanaji wakati mwingine zinapelekea kujikwaa lakini ni mwiko kukata tamaa kusimama kwenye asili yetu huku mipango na malengo vinabakia vichwani mwetu.

Ni takribani wiki 2 zilizopitata nilipata ugeni wa kaka yake mke wangu mwenye miaka 33

Alifika mida ya saa 2 bila taarifa na niwe muwazi kwamba hata mgao wa chakula ulivurugika, namjali sana house girl wangu namchukilia kama mwanafamilia na wife alikuwa kapata ugeni, hivyo ilibidi niende kula mgahawani.

Usiku ule ule tukiwa chumbani nilikuwa namhoji wife kwanini ndugu yake kaja bila taarifa ila nikapotezea nikijua labda atakaa siku 2 au 3.

Kuna vyumba vya wageni vimejitenga na nyumba kuu ndiko tulipompa hifadhi, na choo / bafu ni humo humo.

Sasa ni takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye akitafuta hata shughuli, yani yupo tu.

Wife akimuuliza hali, yeye anasema kaja kutusalimia huwa nabaki kukuna kichwa tu

Asili ya sisi wanauume ni kujitegemea......changamoto za kimaisha na harakati za kiupambanaji wakati mwingine zinapelekea kujikwaa lakini ni mwiko kukata tamaa kusimama kwenye asili yetu huku mipango na malengo vinabakia vichwani mwetu

sasa navyomoona mwanaume mwenzangu yupo comfortable na hali ya kuwa tegemezi na hana tatizo lolote la kumfanya asishughulike, binafsi najisikia vibaya.
mie nnao wawili tena uwezo wangu wenyewe wa kula ugali dona,na wanakatika mwezi wa 3 huu toka waje na hawajawahi kunambia wanaondoka na wala sitamani kuskia wakisema wanaondoka,na toka waje japokuwa uwezo finyu lakini hatujawahi shinda njaa kisa uwepo wao zaid tunaenjoi as a family.

kwa thread yako hii ni nina conclude mambo matatu

1,hujaoa
2,hata kama umeoa basi utakuwa umekurupuka kuoa na huyawez majukum ya mume
3,umetokea familia yenye choyo na roho mbaya au mwenyewe uko hivyo
 
We jamaa ungekua ndo mzee wangu mbona ungekufa kama sio kuzirai kabisa,
Nakumbuka mwaka 2009 kipindi tupo shy town mzee alikuwa ni askari na familia yetu kiujumla ilikuwa na watu takribani 7 hvi mara akaja babu yetu na familia yake ya watu 6 kukaa home hapo hapo wazazi wa mke mdogo na mzee nao wakatia timu wakiwa na watoto wao wa2 haya kama haitosh kina binamu watoto wa shangazi nao hawa hapa wa 2 lets calculate 7+6+4+2=19 na mtu anaelisha familia ni mmoja tu broh ungekuwa wewe ungekufaga mazima na iliwachukua takribani miezi zaidi ya miwili mpaka kuja kuondoka.
🤔🤔🤔 Mzee wako namuona anaingia mlango wa peponi. Hao watu waliondoka wenyewe bila kuambiwa
 
Nini shida Bro. Jambo dogo hili mpaka uje umseme mke wako mitandaoni?
Dah...acha tuu ndoa hiziii...

Wakati mwingine mwanamke ananguvu kuliko mwamba.
Huwenda angekuwa ndugu ake basi na hisi angemchomoa mapemaa tuu tena huku mke kanuna kavimba mbunye anapewa nus nus.

Aaaah lazima ndugu ake asepee.

Ngoja tuone nguvu ya mke kwa ndugu yake kama mwamba atamng'oa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom