Takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye kutafuta hata shughuli, yaani yupo tu

Anza kuchakata mbususu mchana na jion tena chakatia sebuleni, na hakikisha unatoa makelele mengi na kwasauti wakati wa uchakataji... Utarudi na mrejesho ndani ya siku mbili
Ushauri wa humu daaah [emoji23][emoji23]
 
.......huenda kapigka, lkn n vyema ukamuliza kujua nn kimemsbu.

Kumsalimia mtu week 2 🀨, tena na familia nzma🀨!
 
Sasa kama unaona kero kwanini kipindi unaenda kuoa kwao usinge waambia kabisa hutaki wageni?
 
Shida nini kaka vumilia tu alafu anza kumtafutia kazi au mtoe mkapate moja baridi moja moto akueleze changamoto zakee uone kama atakataa kufanya kazi
 
Acha ushamba wewe kodi shamba uanze kulima huyo ndiyo umepewa msimamizi


We mfanye alete faida nyumbani

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
lol [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unauhakika Ni Kaka yake wa damu?
Anaweza kuwa x wake wa zamani amekuja kukumbushia especially Kama mke Ni kabila tofauti na lako
 
Nadhani mleta uzi ni mtu wa kaskazini. Mama Ni mnyamwezi au msukuma. Wanyamwezi wanakatabia ka kutembelea ndugu mjini bila plan yoyote.
Tabia ya kutembelewa na shemeji asiye na plan wachaga hatuipendi kabisa.
 
Mwanaume huwezi kuja jamii forum na kuanzisha uzi wa kijinga kama huu, bila shaka wewe utakuwa umepata mafanikio kidogo bila kupata msoto, watu kama nyie humuona kila mtu ambae hajafanikiwa ni mvivu.
 
Mvumilie mkuu huenda anapitia wakati mgumu sana. Ukizingatia machinga wamevunjiwa maeneo yao ya biashara.

Kabla ya hapo aliweza kujitegemea mwenyewe? Kama ndio basi kuna jambo limemsibu.
 
mie nnao wawili tena uwezo wangu wenyewe wa kula ugali dona,na wanakatika mwezi wa 3 huu toka waje na hawajawahi kunambia wanaondoka na wala sitamani kuskia wakisema wanaondoka,na toka waje japokuwa uwezo finyu lakini hatujawahi shinda njaa kisa uwepo wao zaid tunaenjoi as a family.

kwa thread yako hii ni nina conclude mambo matatu

1,hujaoa
2,hata kama umeoa basi utakuwa umekurupuka kuoa na huyawez majukum ya mume
3,umetokea familia yenye choyo na roho mbaya au mwenyewe uko hivyo
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€” Mzee wako namuona anaingia mlango wa peponi. Hao watu waliondoka wenyewe bila kuambiwa
 
Nini shida Bro. Jambo dogo hili mpaka uje umseme mke wako mitandaoni?
Dah...acha tuu ndoa hiziii...

Wakati mwingine mwanamke ananguvu kuliko mwamba.
Huwenda angekuwa ndugu ake basi na hisi angemchomoa mapemaa tuu tena huku mke kanuna kavimba mbunye anapewa nus nus.

Aaaah lazima ndugu ake asepee.

Ngoja tuone nguvu ya mke kwa ndugu yake kama mwamba atamng'oa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…