johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Bwashee sheria ni msumeno!Wao wanajua sheria ya takukuru tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee sheria ni msumeno!Wao wanajua sheria ya takukuru tu
Shida ya takukuru wanna Nia ovu hivyo ndivyo inavyoonekana machoni pa watu Nia Yao ni kuipaka matope cdm kuibrand jina baya lakini dunia inaona na inajua Nia zao za kishetani na ndio maana taifa likipatwa na shida watu wanafurahi kwasababu Kuna upande unaonewa wazi wazi na mwingine unapendwa .Kuwa na uchunguzi mwingine baada ya wa mwanzo kukamilika sio tatizo, tatizo ni uchunguzi huo mpya, unafanywa kwa kificho? je CDM waliambiwa tuhuma zao? Je walipewa muda wa kuzijibu? Je due process and natura justice zilifuatwa? Inataka kwamba kama unamchunguza mtu, unamwambia unamchunguza kwa reasonable suspicion ipi na kimaandishi na ndio sasa unapomwambia akupe nyaraka A, B,C. Hwezi anza omba nyaraka kabla ya tuhuma... hakuna kitu kama hicho duniani humu kwa nchi zote zinazofuata mfumo wa " you're innocent till proven guilty".
Takukuru wangeeleweka zaidi kama tungekuwa na mfumo wa - " you are guilty until you are proven innocent "... labda kwa sababu ni mwanajeshi na kazoe amri amri basi anajua kwamba amri hizo pia zinafanya kazi uraiani...
Mbona huu msumeno unakata pande moja tu?Bwashee sheria ni msumeno!
Hii taasisi ipo mfukoni mwa mtu mmoja na Takukuru inabidi waangalie kama mtu huyo anapenda mtu afuatiliwe au la.Ikiwa TAKUKURU wanapenda sana siasa si wangechukua form ya ugombea japo udiwani waanzie hapo.
Kwani daraja la kiegea barabara ya Dodoma lilikuwa na bajeti yake iliyopitishwa bungeni ?Naona ccm mnajua sana sheria.
Unaweza nunua ndege bila bajeti kupitia bungeni?
Katika hili sheria inasemaje?
Au nyie mnajua sheria ya takukuru tu?
Bwasheh mbona huo msumeno unakata upande mmoja tuBwashee sheria ni msumeno!
Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.
Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.
Umeisoma vizuri sheria ya Takukuru lakini?Bwasheh mbona huo msumeno unakata upande mmoja tu
Ova
Vyombo vya dola vyote siasaMkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.
Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.
Ubadhirifu ni kosa la jinai la kawaida tu ambalo lingechunguzwa na polisi. Hawa Takukuru kuifanya hii ni big issue ni rahisi sana kwa jamii kuhitimisha kuwa inatumika kisiasa katika suala hili. lakini kikubwa ni kwamba hizi tuhuma za ubadhirifu zinazozungumziwa sio mambo mapya, yameandikwa sana muda mrefu tu, kwanini Takukuru waibuke sasa baada ya wabunge waliofukuzwa Chadema kusema bungeni, tena kwa namna ambayo Bunge lenyewe chini ya Ndugai lilikuwa lina back up? Takukuru wanajua kuwa CAG kapitia matumizi ya Chadema akaridhika, michango inayolalamikiwa na akina kulialia Lijuakali ipo kikatiba ndani ya chama!Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.
Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.
Ndiyo, ni ile iliyowazuia kuchunguza suala la rushwa kwa aliyekuwa D. C wa meru na sasa R. C wa Manyara Alexander Mnyeti, japo walipelekewa ushahidi wa video. Sote tunajua kilichotokea, ni kweli kabisa sheria ya Takukuru inaona kwa makengeza.Unaijua sheria ya TAKUKURU lakini?
Just as it was to MnyetiHii taasisi ipo mfukoni mwa mtu mmoja na Takukuru inabidi waangalie kama mtu huyo anapenda mtu afuatiliwe au la.
Takukuru ni vyema mkae pembeni na shinikizo la ccm kuwashurutisha kawaonea chadema kwani mnaendelea kuonekana waonevu wa wazi pasipo shakaMkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.
Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.
CCM zimepigwa pesa nyingi ni kwa nini Takukuru hawaendi huko?Tatizo chadema wanapiga hela wakidhani wanaishi kwenye space .wakiulizwa break ya kwanza ni kwenye mic .nchi imebadirika hii si kila kitu siasa. Zingekuwa siasa kandambili na shuka zingekamatwa?
Hata aliyekuwa mhasibu wa Takukuru yupo jela kwa kujipatia mali kinyume cha sheria, Takukuru nao wana mapungufu yaoEti chombo kilichobobea. Hawa takukuru wanalipi la kujivunia kuwa wamelifanya.
Wakuu wanatumia madaraka vibaya hadi kutumbuliwa na Rais wengine wakipewa onyo wao wapo tu.
Ufisadi umetamalaki,lakini wao wanajivunia weledi kubaki maofisini.
Ununuzi unafanyika bila kuzingatia sheria za manunuzi ya umma...wao wapo tu.
Hii taasisi inajishushia heshima sana. Nilidhani kupewa bwana afande walau itanyoosha uhuni wote kumbe maweeee.